Shura ya Maimamu yataka Mkataba wa Bandari Uboreshwe na haki itendeke kwa Makumi ya Masheikh walioko Jela nchi nzima

Mungu awabariki Shura ya Maimamu.
Wameeleza ukweli bila kuegamia upande wowote zaidi ya haki.
 
Huu ndio ukweli mchungu haiwezekani kabisa liwe na vyuo vikuu zaidi ya 10 halafu waislam tuwe na kimoja,Hela hizo za kuendesha vyuo vikuu kanisa inazitoa wapi, Mzee Mchonga na Mzee Wa Radar wametuhujumu sana waislamu. Mzee mohamed saidi akisema eti wavaa rozari humuita mdini. Ukweli lazima usemwe.
 
Nikiangalia vizuri Shura ya Maimamu Wameliweka vizuri sana bila kuegemea upande wowote kibaguzi, serikali inabidi ijitahidi kufuata maoni na ushauri unaotolewa
Nikiangalia vizuri Shura ya Maimamu Wameliweka vizuri sana bila kuegemea upande wowote kibaguzi, serikali inabidi ijitahidi kufuata maoni na ushauri unaotolewa
Kongole Shura ya Maimam kwa kutoa hoja sahihi na bila kuegemea upande wowote.
 
Waraka mzuri sana umeandikwa kisomi kabisa bila shaka Shekh Ponda hakushirikishwa.
 
Masheikhe isingekuwa kwa busara za wakristo tungeingia katika malumbano makubwa ya kidini. Masheikhe wamekuja kuto mifano ya Magufuli na makampuni kutoka Ulaya wakisema kwanini isiwe hivyo kwa makampuni kutoka Uarabuni.

Masheikhe wameendelea kuonesha udini mkubwa katika waraka wao. Masheikhe wanaonekana kutofahamu vizuri mambo na hasa mikataba ya nchi na sababu zake. Ushauri wa masheikhe kwamba serikali isikilize hoja za wananchi ndilo jambo la maana zaidi waliloongelea. Mengine yote yamejengwa kwa hoja hafitu zisizo za kiweledi na zenye uegemevu wa kidini.



Nikiangalia vizuri Shura ya Maimamu Wameliweka vizuri sana bila kuegemea upande wowote kibaguzi, serikali inabidi ijitahidi kufuata maoni na ushauri unaotolewa

Huu ndio UZALENDO tunaouzungumzia ndugu zangu waislamu wameweka mambo SAWA KABISA


Wanaotibiwa kwenye hizo Hospitali ni Wakristu peke yao? Hawa jamaa wana shida vichwani.

 
Acha malumbano, jadili suala la msingi linalotuunganisha la bandari. Masheikh hawajapenda mkataba kama ulivyo. Hayo mengine yaliyobaki si lazima wawe na mawazo sawa na taasisi nyingine.

Nyie ndo huwa mnashindwa kutafuta common ground ya kinachowaunganisha mnakimbilia kwenye kile kinachowatenganisha!.

Au unataka masheikh wasiseme ila maaskofu peke yao ndo waseme, wewe vipi?
 
Wanaotibiwa kwenye hizo Hospitali ni Wakristu peke yao? Hawa jamaa wana shida vichwani.
Kwa nini serikali isitumie hizo pesa kujenga hospitali na shule zake!?..kwa huko kwenye hizo huduma ambazo serikali inatoa pesa Kuna Bei kubwa ya huduma kuliko serikalini!?..je kanisa Kama wamiliki wa hizo hospital hawapatai faida!?..kwa nini serikali inasaidia biashara za kanisa!?
 
Serikali imeingia MoU na "taasisi" shura ya maimamu inataka serikali iingie na raia waislamu.Kuna raia gani wa kiislamu ana taasisi inayotoa huduma kama Bugando na KCMC?
 
Ngoja nisubiri la TEC.

Huu "mchanyanto" wa Maimamu ulifaa kuwa matamko matano tofauti.
 
Lazima mazuri na mabaya yazungumzwe. Hata mkataba wa bandari kuna mazuri na mabaya. Usipende watu waongelee upande mmoja tu wa jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…