Shura ya Maimamu yataka Mkataba wa Bandari Uboreshwe na haki itendeke kwa Makumi ya Masheikh walioko Jela nchi nzima

Hao sura ya imamu asilimia 80 ya hoja zao zimejikita kuhoji mikataba ya kanisa na serikali pia urasimishaji uliofanyika katika serikali za awamu ya 4,kimsingi wamejificha kwenye kichaka cha kuhararisha mkataba wa dpw indirect.
Umeshikwa pabaya huna hoja πŸ˜›πŸ˜›
 


 
Yule Bibi ameasi hadi Waislamu wenzake sababu ya udini na kula mlungula wa Mwarabu.
Shura ya Maimamu imeonesha wazi kuwa tatizo ni Mkataba mbovu na sio kitu kingine.
Yule Bibi sio Mtanzania.
 
Hahahahah wako mwaka 1444 happ hata Vasco da Gama hajafika India wala πŸ˜† 🀣 πŸ˜‚ wale cape of good hope
 
Tamko kama hili la kupinga mkataba wa bandari lingetolewa na TEC kelele zawajinga zingesumbua sana..

Bahati nzuri kila upande unazidi kuulaani ule mkataba wa hovyo wa bandari, naamini yule kiziwi lazima atasikia.
Tec tayari huko amka πŸ˜„
 
Hao sura ya imamu asilimia 80 ya hoja zao zimejikita kuhoji mikataba ya kanisa na serikali pia urasimishaji uliofanyika katika serikali za awamu ya 4,kimsingi wamejificha kwenye kichaka cha kuhararisha mkataba wa dpw indirect.
Ukisoma vizuri hoja za Shura ya Maimamu, utagungua UNAFIKI uliojificha wa Hawa ndugu zetu; usoni anakuchekea na kujionyesha muungwana:
1. Wanasema Bungeni ulipelekwa muswada, je ni kweli hiyo? kumbe Wakina Mwambukusi wametuingiza chaka
2. Wanapinga, wanatilia shaka kwa sababu Mhe. Rais, Waziri na Karibu Mkuu wanatoka Zanzibar. Ninachokumbuka hilo lilikuwa angalizo kwamba kwakuwa wanatoka huko ilibidi kuwa makini kudhughulikia suala sensitive kama hili
3. Wanasema suala la Ugaidi linaletwa kwa sababu tu ni muarabu, mbona Swiss port,mzungu pale Airport hahofiwi kuleta Ugaidi😴 wanashindwa kuelewa kuwa Swiss port wako chini ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege wakati DP World yeye pale Bandarini ndiyo atakuwa final kama walivyo mamlaka ya Viwanja vya Ndege kule Air port
4. Haraka sana warukia kwenye MoU ya Serikali na Kanisa kwamba ni ya MILELE. Mwenye akili utaona UNAFIKI hapo, kwa Mkataba na DP WORLD Hauna tatizo ukizingatia kuwa tayari Serikali imeisha Fanya mkataba kama huo na Kanisa. Lakini hawafikiri kuwa suala letu la ndani (sisi watanzania wote) lisitufanye tuwanufaishe wageni. Hili suala la MoU kama walivyoshupaliaga watoto wao wa shule wavae Hijabu vivyo hivyo liko ndani ya uwezo wao. Wanajizima data kutotaka kujua kuwa Serikali tena chini ya Rais Muislam iliona umuhimu wa kuzitimia hospital za Kanisa kwa manufaa ya Watanzania wote.
Kazi yao kulalamika kila siku hata wewe wengi kama ilivyo kule Pakistan lazima wataji feel inferior na kuanzisha chokochoko kama Ambayo wamechoma makanisa Pakistani na kuchoma Biblia tarehe 15 Agosti, 2023 kwa kisingizio Cha ati mkiristo amechana Quran. Au wanajifanya hawajasikia hizo taarifa. Na kwa taarifa hao ni SUNNI, ambao huko Pakistan wanatesa hata Mashia
 
Huku SHURA YA MAIMAU, HUKU TEC, KULE CHADEMA HUKU , wanasiasa wastaafu, kwa upande ule wanasheria na wanazuoni , pembeni wananchi
 
Shura ya Maimamu wako sahihi sana sana.

DP World wametengeneza Mkataba wa hila.
Na bila kuwa makini ukapitishwa.

Vipengele vyenye utata virekebishwe DPW aanze kazi.

Mbona Wingereza kachukua Bandari Moja tu.

Kumiliki Bandari zote milele ni kuuza uhuru wetu kwa wageni.
 
Wanaotibiwa kwenye hizo Hospitali ni Wakristu peke yao? Hawa jamaa wana shida vichwani.
Hospital zote unazoita za wakristo zimejengwa na wazungu kwa pesa hizi hizi walizoiba hapa nchini.
Kwa kujifanya waungwana wakaandika jina la Makanisa.
Kuna wakristo wenye uwezo wa kujenga Hospital kubwa nchi nzima?
wakristo Wana viwanda gani kuweza kupata Billions of money? Au unadhani zilijengwa na zile sadaka la fungu la 10 mnaochanga weekend?

Soma upate kuelewa. Kijana.
Kutokujua kunasababisha mmwage mapovu ovyo.
 
Mwka 1992, Serikali ya Tanzania iliingia mkataba na Kanisa uitwao, Memorandum of Understanding between Christian Council of Tanzania and Tanzania Episcopal Conference and the United Republic of Tanzania (MoU).

Kwa mujibu wa makubaliano hayo Serikali ya Tanzania inatao fedha (mabilion), kwaajili ya kuendeleza miradi mikubwa ya Afya na Elimu ya Makanisa. Ingawa fedha hizo ni za Watanzania wote lakini serikali haikuwahusisha Waislamu katika mjadala na wala haina mpango wa kufanya mkataba kama huo na raia Waislamu Tanzania. Kubwa zaidi mkataba huo ni wa milele hauna ukomo.

HII NCHI DAAH
 
Waislamu mna hospitals zipi mpaka muingie na nyie mkataba?
 
Waislamu mna hospitals zipi mpaka muingie na nyie mkataba?
We kwa akili kuambiwa unadhani KCMC Bugando na zingine zilijengwa na Zile buku jero mnazochanga weekend kwenye Kikapu?
Tatizo wengi wenu mmezaliwa mmekuta vitu vimefanyika mkadanganywa makanisani kuwa KANISA ndio limejenga!

Kanisa lilikuwa na miradi gani ya kujenga hizo Hospital?

Hospital zote zimejengwa na WAPAGANI ( WAZUNGU) kwa kutumia pesa walizoiba hapa hapa nchini
Kuamua kujipendekeza kwa Nyerere wakaamua kuandika jina la makanisa .
Lkn usijidanganye kuwa haya Makanisa yanayoimba kwaya weekend yamejenga HOSPIhata moja Kubwa hapa nchini kwa pesa zao.
Km ulidanganywa Leo umejua.
Ukibisha nenda Kaulize Pale Makao makuu ya Ardhi nani alikuwa mjenzi kama utakuta jina la Pengo au kkt dayosisi ya paroko ya upako.
 
Pole kwa povu , ila Rudi jibu swali waislamu mna hospitals zipi mpaka muingie mkataba?

Mpaka sasa wakristo uwa tunachangishana na tunazijenga zipo mpya nyingi Sana
 
We kwa akili kuambiwa unadhani KCMC Bugando na zingine zilijengwa na Zile buku jero mnazochanga weekend kwenye Kikapu?
Tatizo wabusu jiwe mnafikiri nyie mnavyotoa sadaka za jero na Wakristo ni hivyo

Nenda kasikilize sadaka zikitangazwa alafu urudi na kurusha povu

Wakristo wamejengewa Imani ya kutoa

Kuna maali niliendq waislamu walikuwa wana dua na walikuwa kama 40 ivi kweli Cha ajabu sadaka ilitangazwa elfu 13 na wakapiga makofi , apo elfu 10 ni Mimi nilitoa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wabusu jiwe wamejengewa Imani ya kuwategemea matajiri ndio watoe upande wa wakristo Imani ya kutoa ipo ndani ya mtu ata bibi kizee anaweza kuja kanisani na mayai ya kuku wake anaowafuga akatoa sadaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…