GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ninachojua tu ni kwamba Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine ( SAUT Mwanza ) nilikosoma Mwanamume ukiwa.......
1. Mpumbavu wa Kurithishwa huwezi Kusoma
2. Ukiwa Mvivu na Lege Lege huwezi Kufaulu
3. Ukiwa huna bidii Kitakushinda na utakimbilia Mitandaoni 'Kupopomomika' tu Kutwa
4. Ukiwa Muhuni utaishia kuwa Mwendawazimu kwani pale 24/7 kuna Uwepo wa Mungu na Kristo
5. Ukiwa hujatokea katika Koo zenye Watu wenye Akili kamwe utakichukia tu
6. Ukiwa na Uswahili mwingi na Maisha yako ni ya hovvyo hovyo huwezi kuendana nacho
7. Ukiwa Mvuta Bangi au Mlevi au Mbwia Unga ni lazima hutokipenda tu
Tanzania nzima na nashukuru hata Wakenya, Waganda na Wanyarwanda bila kusahau Wazungu wanafurika SAUT Mwanza na wameshakiri kuwa ndiko sehemu pekee ya Kuwatoa Watu Mahiri na Werevu katika Tasnia zote.
Ukiona hadi GENTAMYCINE amesoma SAUT na anakisifia hivi jua ya kwamba najua ni Kitu gani nimekipata pale. Hakuna Chuo ambacho kama kweli Mtu au Mwanao akiwa anatafuta Taaluma ya Kweli na akiwa hataki tu kuishia kuwa Mweledi bali pia anataka kuwa Rational Thinker basi sehemu pekee ni SAUT Mwanza.
Sasa kama wengine tuna 'Degree' zetu, ila wenye 'Doctorates' zao achilia mbali Masters zao wanatuogopa kwa kujua Kufikiri na Kujenga Hoja kwanini msiamini kuwa SAUT Mwanza ndiyo Kiboko ya Mjini kwa sasa Kitaaluma? Nimeshaitwa sana Profesa na Dakta ( tena hapa hapa JamiiForums ) yote ni Matunda ya SAUT hayo.