Shutuma zote dhidi ya SAUT Mwanza ni za Uwongo mtupu mpeleke Mwanao huko akawe Genius na Thinker kwa Tanzania

Shutuma zote dhidi ya SAUT Mwanza ni za Uwongo mtupu mpeleke Mwanao huko akawe Genius na Thinker kwa Tanzania

Nasisitiza Kwako tena kwa Jeuri zote na Kujiamini kabisa kuwa Mwanamume nina DIV II ya Form Four na DIV I ya Form Six.
Basi wewe utakuwa ni mtoto wa juzi. Enzi zetu ilikuwa ni fahari kubwa kusoma udsm! Na uzuri fani zote zilikuwa zinapatikana ikiwemo hiyo ya uandishi wa habari. Na division 1 zote zilienda Udsm!

Huko Nyegezi! Sijui SAUT, walisoma watoto wa mama waliokosa sifa za kujiunga Mlimani! Ila wagumu wote, watoto wa wakulima na ma genius wote wachache kutoka interior kama mimi! Tulikutana pale UD na one zetu.
 
Hivi Vyuoni kuna Walimu au kuna Wahadhiri? Nikiwaiteni Wapumbavu mtachukia? SAUT haina Walimu bali ina Wahadhiri sawa? Na hakuna Mhadhiri wa SAUT Mwanza mwenye Udhaifu ila Udhaifu mkubwa ni Ubongo wako uliojaa Tongo Tongo nyingi tu.

Nakupa Elimu hii ya bure.....

Walimu wako Chekechea hadi Kidato cha Sita tu
Wakufunzi wako katika Vyuo ambavyo vinatoa Ngazi za Certificates na Diplomas pekee
Wahadhiri na Wahadhiri Waandamizi wako katika Ngazi za Elimu ya Juu / Vyuo Vikuu tu

Huwezi kuwa na Akili Kubwa kama hizi na kupata huu Ufafanuzi Kuntu kutoka kwa GENTAMYCINE kama tu hujasoma SAUT.
Acha upopoma mwalimu ni mwalimu tu au ndo Yale Yale akifa kiongozi anaitwa hayati akifa masikini marehemu [emoji1787][emoji1787]
 
Jambo la kushangaza sana mpwayungu mzee wa kuandika ugoro awe p.
Sijawahi Kukosea pale nikilisema Jambo sasa kama Wewe hutaki Kuamini kuwa ndiyo Yeye ni Shauri yako. Najiamini Ok?
 
2008 nilipata Multiple admission ya vyuo vikuu. SUA na hivyo vyuo vya kata vyenye wanafunzi wenye low iq na wakufunzi vilaza tena wengine tulisoma nao Nikaenda SUA kupiga BVM nikaacha UDOM, St. John University tena nilipata course za "medical" nikaona naenda jishusha uwezo wangu wa kufikiria.

Mtu mwenye akili timamu na kama amefaulu vizuri hawezi kwenda soma SAUT, St. John, MUM, sijui RUCU au Mkwawa au Tumaini wala UDOM. Huko ni kwa vilaza, vyuo Tanzania ni viwili tu UDSM na SUA.
 
Hicho Chuo wamesoma/wanasoma watoto wadogo kama wewe mtoa mada! Ushahidi ni wakati tunasoma sisi kaka zako! Kilikuwa kinaitwa Chuo cha uandishi wa habari Nyegezi!

Sasa wewe mtoto wa juzi unataka kutuletea dharau sisi kaka zako Ma genius kabisa tuliofanya mpaka mtihani wa matriculation pale UDSM na hicho chuo chako cha kata, walichosoma/wanachosoma watu mapopoma kama wewe!
Ati matriculation ile mitihani ya mukriple choices?. Kiingereza cha darasa la saba. Haha hahaaaa!. Nenda SAUT ukutane na basic English course mwaka wa kwanza na French mwaka wa kwanza na pili ndio uje hapa ujiite mwanaume.
 
Ninachojua tu ni kwamba Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine ( SAUT Mwanza ) nilikosoma Mwanamume ukiwa.......

1. Mpumbavu wa Kurithishwa huwezi Kusoma
2. Ukiwa Mvivu na Lege Lege huwezi Kufaulu
3. Ukiwa huna bidii Kitakushinda na utakimbilia Mitandaoni 'Kupopomomika' tu Kutwa
4. Ukiwa Muhuni utaishia kuwa Mwendawazimu kwani pale 24/7 kuna Uwepo wa Mungu na Kristo
5. Ukiwa hujatokea katika Koo zenye Watu wenye Akili kamwe utakichukia tu
6. Ukiwa na Uswahili mwingi na Maisha yako ni ya hovvyo hovyo huwezi kuendana nacho
7. Ukiwa Mvuta Bangi au Mlevi au Mbwia Unga ni lazima hutokipenda tu

Tanzania nzima na nashukuru hata Wakenya, Waganda na Wanyarwanda bila kusahau Wazungu wanafurika SAUT Mwanza na wameshakiri kuwa ndiko sehemu pekee ya Kuwatoa Watu Mahiri na Werevu katika Tasnia zote.

Ukiona hadi GENTAMYCINE amesoma SAUT na anakisifia hivi jua ya kwamba najua ni Kitu gani nimekipata pale. Hakuna Chuo ambacho kama kweli Mtu au Mwanao akiwa anatafuta Taaluma ya Kweli na akiwa hataki tu kuishia kuwa Mweledi bali pia anataka kuwa Rational Thinker basi sehemu pekee ni SAUT Mwanza.

Sasa kama wengine tuna 'Degree' zetu, ila wenye 'Doctorates' zao achilia mbali Masters zao wanatuogopa kwa kujua Kufikiri na Kujenga Hoja kwanini msiamini kuwa SAUT Mwanza ndiyo Kiboko ya Mjini kwa sasa Kitaaluma? Nimeshaitwa sana Profesa na Dakta ( tena hapa hapa JamiiForums ) yote ni Matunda ya SAUT hayo.
U -genious haufundishwi
 
Sauti ni chuo Cha divisions three na four huwez pata Division 1 ukaenda Soma chuo Cha kata it Imposssible.
 
Tanzania vyuo vya kujisifia ni.
1.UDSM
2.MUHIMIBILI
3.SUA
 
Tanzania vyuo vya kujisifia ni.
1.UDSM
2.MUHIMIBILI
3.SUA
SUA hii wanapokwenda vilaza wa advance waliopata marks za kuchechemea.

Yaani mimi advance asilimia 50 niliohitimu nao walienda SUA na wote ni two ya mwisho 12.
 
SUA hii wanapokwenda vilaza wa advance waliopata marks za kuchechemea.

Yaani mimi advance asilimia 50 niliohitimu nao walienda SUA na wote ni two ya mwisho 12.
Sijawahi fika ila atlest afadhali.. ingawa kwa elimu ya darasani UDSM is incomparable!
 
Back
Top Bottom