GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #81
Hivi na Wendawazimu kama Wewe siku hizi mnaruhusiwa Kuchangia hapa JamiiForums?Ivi SAUT si ni tawi la ZION COLLEGE
..huo ubora umetoka wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi na Wendawazimu kama Wewe siku hizi mnaruhusiwa Kuchangia hapa JamiiForums?Ivi SAUT si ni tawi la ZION COLLEGE
..huo ubora umetoka wapi
Huna Akili acha kutupotezea muda na Kukichafua Chuo Kikuu changu pendwa cha SAUT sawa?Kuna mtu alidisco kisa uzembe mwaka jana. Huyo mtu alikuwa na tatizo na lecture alituma taarifa kwa viongozi, isitoshe kila akija class akawa anamtafuta "jamani nitafutieni Rhoda yuko wapi, Rhoda kama uko huku sioni maksi zako za course work" mtu hatokei. Nakumbuka tuko m13 siku ya kipindi cha mwisho kufunga semester ya mwaka wa mwisho lecture huyu akiwa ndio anaanza kipindi alisikitika sana akasema huyu niliemtafuta ndio mwanafunzi wa kwanza wa somo langu kudisco.
Huo ni mfano tu.
Sikatai kila chuo kuna rushwa za ngono, uonevu lakini sio kila mwalimu atakuonea. Unakuta mtu mmoja ana kosa linlofanana kwa kila mwalimu. Huyu mtu anasaidiakaje.
Wanachuo wengi tunakosa time management kabisa. Mfani mimi nilipata sup kisa nilichelewa darasani vipindi viwili so nikakosa quiz za maksi 10. Hapo nilikuwa second year.
SAUT waboreshe mazingira na hali za walimu watafundisha vyema.
Watakimbia Mkuu.Wasikuchukulie poa mzee baba
Hahaha
Hebu waweke cv yako uwakate ubishi
Naona wapinzani unao wengi humu
Ova
Umekurupuka kusoma comment yangu.Huna Akili acha kutupotezea muda na Kukichafua Chuo Kikuu changu pendwa cha SAUT sawa?
Ndio tunaruhusiwa kuchangia if only wendawazimu wenzetu wameanzisha uziHivi na Wendawazimu kama Wewe siku hizi mnaruhusiwa Kuchangia hapa JamiiForums?
Division three syo kigezo cha kuwa huna akili.Chuo bovu lile wanaenda wenye division 3
Sasa wewe hujasoma SAUT,unajuaje ya SAUT?Hakuna jambo la uongo hapo huo ni ukweli mchungu ambao nyie team SAUT hamtaki kusikia ni mjinga pekee ndo hajui nini kinaendelea SAUT