Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Ongezea na Mzumbe2008 nilipata Multiple admission ya vyuo vikuu. SUA na hivyo vyuo vya kata vyenye wanafunzi wenye low iq na wakufunzi vilaza tena wengine tulisoma nao Nikaenda SUA kupiga BVM nikaacha UDOM, St. John University tena nilipata course za "medical" nikaona naenda jishusha uwezo wangu wa kufikiria.
Mtu mwenye akili timamu na kama amefaulu vizuri hawezi kwenda soma SAUT, St. John, MUM, sijui RUCU au Mkwawa au Tumaini wala UDOM. Huko ni kwa vilaza, vyuo Tanzania ni viwili tu UDSM na SUA.