Shutuma zote dhidi ya SAUT Mwanza ni za Uwongo mtupu mpeleke Mwanao huko akawe Genius na Thinker kwa Tanzania

Shutuma zote dhidi ya SAUT Mwanza ni za Uwongo mtupu mpeleke Mwanao huko akawe Genius na Thinker kwa Tanzania

Kuna mtu alidisco kisa uzembe mwaka jana. Huyo mtu alikuwa na tatizo na lecture alituma taarifa kwa viongozi, isitoshe kila akija class akawa anamtafuta "jamani nitafutieni Rhoda yuko wapi, Rhoda kama uko huku sioni maksi zako za course work" mtu hatokei. Nakumbuka tuko m13 siku ya kipindi cha mwisho kufunga semester ya mwaka wa mwisho lecture huyu akiwa ndio anaanza kipindi alisikitika sana akasema huyu niliemtafuta ndio mwanafunzi wa kwanza wa somo langu kudisco.

Huo ni mfano tu.
Sikatai kila chuo kuna rushwa za ngono, uonevu lakini sio kila mwalimu atakuonea. Unakuta mtu mmoja ana kosa linlofanana kwa kila mwalimu. Huyu mtu anasaidiakaje.
Wanachuo wengi tunakosa time management kabisa. Mfani mimi nilipata sup kisa nilichelewa darasani vipindi viwili so nikakosa quiz za maksi 10. Hapo nilikuwa second year.
SAUT waboreshe mazingira na hali za walimu watafundisha vyema.
Huna Akili acha kutupotezea muda na Kukichafua Chuo Kikuu changu pendwa cha SAUT sawa?
 
Kama kuna mahala kimeshutumiwa, Ni vyema ungekuja kitalaam kama msomi wa SAUT kuthibitisha kitalaam kwa kutumia tools za kitaalam kuonyesha hapo SAUT kweli wanasoma competent genius.

Zipo tools za kitalaam kupima ubora wa chuo, binafsi ni mhitimu wa lasaba B, naamini wasomi wanazijua hizo tools.

Ngoja sisi wachumia tumbo aka lasaba B tuendelee kufuatilia mpambano.
 
Chuo bovu lile wanaenda wenye division 3
Division three syo kigezo cha kuwa huna akili.
Ni wangapi wamefeli primary lakini sasa ni ma genius wa kufa mtu walipoenda private schools na baadae kwenda chuo wanawaburuza waliofaulu primary na kwenda goverment schools.

Wewe ni mmoja wa malofa msoma chuo
 
Back
Top Bottom