Shutuma zote dhidi ya SAUT Mwanza ni za Uwongo mtupu mpeleke Mwanao huko akawe Genius na Thinker kwa Tanzania

Ongezea na Mzumbe
 
Chuo cha kipopoma kile[emoji1787]
75% ya Watu wa TISS, JWTZ na mpaka Foreign Docket achilia mbali DC's na Watendaji Waandamizi wa Serikalini na Waandishi wa Habari Intelligent and Critical Tanzania, Rwanda na Kenya ni Wahitimu wa ( zao la ) SAUT Mwanza.
 
SUA hii wanapokwenda vilaza wa advance waliopata marks za kuchechemea.

Yaani mimi advance asilimia 50 niliohitimu nao walienda SUA na wote ni two ya mwisho 12.
Hujakosea. Ni mpaka wenye principal za minimum kabisa.

Yaani ni wale wanaotaka sifa kusoma chuo chenye jina. Bahati mbaya ufaulu ukawa chini.

Hasa PCB.
 
SUA hii wanapokwenda vilaza wa advance waliopata marks za kuchechemea.

Yaani mimi advance asilimia 50 niliohitimu nao walienda SUA na wote ni two ya mwisho 12.
Hata UDSM wanakwenda wenye division II pia.
 
[emoji1787]
SUA hii wanapokwenda vilaza wa advance waliopata marks za kuchechemea.

Yaani mimi advance asilimia 50 niliohitimu nao walienda SUA na wote ni two ya mwisho 12.
Halafu wewe wakakupeleka Sauti sio

Achana na SUA wewe kwanza ni cha pili Tanzania kwa ubora

Tafiti nyingi zinafanyika pale za kilimo yes kilimo ambacho ni uti mgongo wa taifa lako

Panya wateguaji mabomu wanafundishwa pale

Kuna mpka clinic ya wanyama

Gunduzi ,tafiti na cross breeding za mbegu

Sasa we dogo unajua nini unajua tu uzuri wa chuo majengo na kiwe mjini
 
SUA hii wanapokwenda vilaza wa advance waliopata marks za kuchechemea.

Yaani mimi advance asilimia 50 niliohitimu nao walienda SUA na wote ni two ya mwisho 12.
Kweli elimu ya Tz haina thamani mpk wewe ni umepass advance ?
 
Kwa akili hizi ndo maana ulipata DV III
 
Chuo wanyanyasaji sana hovyo kabisa.Na faini za kijinga kisa kuchelewa kulipa ada hata buku.wamulikwe na serikali wezi wakubwa.
 
Mleta hoja hakuwa na hekima maana shutuma zilikosa evidence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…