Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Mtoa mada yupo sahihi hata kama utekelezaji unaweza kutofautiana ila kimsingi nampa BIG UP
kinachoendelea kwa sasa ni tabia ya unyanyasaji kwa kujua au kwa kutokujua......
Vijana wa kike na wakiume huachiwa watoke huko Nyumbani huku hawana muelekeo wowote
Mwishowe tunaishia kujaza madada poa mijini tukifikiri dada zetu wapo kazini au machokora tukifikiri kaka zetu wapo kazini
Lile wazo la mtu kuwa na familia anayoweza kuingalia ndio linakuja hapa. Kuna baadhi ya watu wanajisifia wana watoto sijui tisa wakati hata hajui huko waliko wanakula nini; kumbe ni madada poa na machokora!!!