Si busara kumruhusu mtoto aanze kujitegemea wakati hana chochote

Si busara kumruhusu mtoto aanze kujitegemea wakati hana chochote

Mimi ni mmojawapo nilivyomaliza chuo niliambiwa nisirudi home. Nikakomaa hapa mjini mpaka nikatoboa acheni kuwalegeza watoto wa kiume kwa mtoto wa kike sawa, kama hana kazi akae home.

Mzee alinambia kama unafungua biashara niione hapo nitakupa pesa ya kukuza biashara. Acheni kuwalemaza watoto wa kiume, unampa mtaji anakwenda kidimbwi kula bata ananunua na macho 3.

Akimaliza chuo fukuza akatafute maisha hapo atapata akili ya maisha.
Asante kwa comment murua sana
 
Unataka uondoke na chochote Cha nani. Mali za baba yako siyo zako ni zake na mkewe.Watoto acheni kilialia ndio maana mnawachuria wazazi wenu wafe ili mbaki na mali. Kwani yeye hizo mali alipewa na baba yake. Pambana na hali Yako.
Asante
 
Back
Top Bottom