Kama amekushinda muache ila nimezungumzia kuondoka kimkakatiHakuna mzazi anaependa mwanae ahangaike mtaani…ila wapo watoto wanaopenda kuwa boy street wakijiita masela
wewe ulinyanyaswa kisaikolojia na wazazi wako ila kwa kukuwa Mungu amejaalia umefanikiwa imekuwa bahati kwako ila usingefanikiwa ndio ungejua hujui.
mtoto lazima aandaliwe kisaikolojia na kimaisha na wazazi au walezi wake ili pindi anapoanza kujitegemea iwerahisi kukabiliana na mazingira na hatakiwi kutelekezwa mbali mfana angalia wanyama na ndege waanza kutengena taratibu na vifaranga vyao au vindama vyao hata simba uanza taratibu kuwatenga madume na baadae kuwafukuza kabisa. sio jambo la kukurupuka tu tuna mengi ya kujifunza hata wanyama pia wanatufunza sana.
Unataka uondoke na chochote Cha nani. Mali za baba yako siyo zako ni zake na mkewe.Watoto acheni kilialia ndio maana mnawachuria wazazi wenu wafe ili mbaki na mali. Kwani yeye hizo mali alipewa na baba yake. Pambana na hali Yako.
Ndio maana jamii za wahindi na waarabu ni matajiri sana na jamii ya mtu mweusi wana maisha ya hovyo sana. Haya ni matokeo ya maamuzi ya kufukuza watoto halafu unafungua biashara unaajiri watu
Unadhani kila mzazi ni tajiri?Kuna dhana imezoeleka na wazazi ambao vijana wao wamefikia umri wa kujitegemea kuwaruhu ama kuwataka waondoke nyumbani ili hali hawana chochote na inawezekana hata kazi hana inayoeleweka.
Hii hali ina athari nyingi sana kwa vijana wa jinsia zote ila kwa wakike ndio zaidi. Kijana kuhitimu chuo haimaanishi kwamba sasa anaweza kumudu kila kitu,bado anakuwa na changamoto za kutqfuta kibarua ili aweze kujikimu.
Kwa upande wangu mimi nitafanya hivi ,wanangu kutoka nyumbani itakuwa ni option,na anapotoka nilazoma nijue kwa uyakinifu anaenda wapi na kwanini? Akinipa hoja yakinifu na nikazikunali basi nitagharamia kila kitu,kodi ya nyumba miezi 6, pesa yakujikimu miezi 6( hata kama anamshahara) kama amepata kazi,!,nitam unulia kila kitu ambacho ni hitaji muhimu kwa kuanza maisha ikiwemo kitanda, na godoro na mengineyo.
Kama ameamua kufanya biashara basi nitampatia mtaji,na nitaifuatilia mpaka pale jitakapo ona imesimama,na katika kipindi hicho chote nitampatia mahitaji muhimu mpaka pale biashara itakapo shinda kipindi cha mpito.
Unamruhusu mtoto aondoke halafu mkononi hana kitu wala hana kitu cha maana, matokeo yake kama ni wa kike anashawishika kujiuza.
Hakikisha mtoto kasimama na unauhakika kasimama kikamilifu ndio umuache.
Hili sio suala la utajiri,ni malengo tu kuanzia mtoto anapokuwa mdogo ,au anapozaliwa muwekee mikakatiUnadhani kila mzazi ni tajiri?
Wenzako ndiyo tuliwajengea nyumba nzuri wazazi! Tulikuwa tunawatunza ujue! Inategemea wewe ni kizazi cha ngapi! Kama ni cha pili hapo sawa ila wengi humu ni kizazi cha kwanzaHili sio suala la utajiri,ni malengo tu kuanzia mtoto anapokuwa mdogo ,au anapozaliwa muwekee mikakati
Wahindi gani unasema ni matajiri.. au unaongelea hawa unaowaona kwny tv na magazeti
Nenda india mkuu, kuna
logic yangu ni kwamba hayo yanayotokea kwako zidi ya wazazi wako basi yasiyokee kwa wanao zidi yakoWenzako ndiyo tuliwajengea nyumba nzuri wazazi! Tulikuwa tunawatunza ujue! Inategemea wewe ni kizazi cha ngapi! Kama ni cha pili hapo sawa ila wengi humu ni kizazi cha kwanza
Umeandika jambo la msingi sana, ila familia zina tofautiana sana hapa ndio shida ilipo, kuna watu pesa ya mkopo wa chuo wanalisha familia nyumbaniKuna dhana imezoeleka na wazazi ambao vijana wao wamefikia umri wa kujitegemea kuwaruhu ama kuwataka waondoke nyumbani ili hali hawana chochote na inawezekana hata kazi hana inayoeleweka.
Hii hali ina athari nyingi sana kwa vijana wa jinsia zote ila kwa wakike ndio zaidi. Kijana kuhitimu chuo haimaanishi kwamba sasa anaweza kumudu kila kitu,bado anakuwa na changamoto za kutqfuta kibarua ili aweze kujikimu.
Kwa upande wangu mimi nitafanya hivi ,wanangu kutoka nyumbani itakuwa ni option,na anapotoka nilazoma nijue kwa uyakinifu anaenda wapi na kwanini? Akinipa hoja yakinifu na nikazikunali basi nitagharamia kila kitu,kodi ya nyumba miezi 6, pesa yakujikimu miezi 6( hata kama anamshahara) kama amepata kazi,!,nitam unulia kila kitu ambacho ni hitaji muhimu kwa kuanza maisha ikiwemo kitanda, na godoro na mengineyo.
Kama ameamua kufanya biashara basi nitampatia mtaji,na nitaifuatilia mpaka pale jitakapo ona imesimama,na katika kipindi hicho chote nitampatia mahitaji muhimu mpaka pale biashara itakapo shinda kipindi cha mpito.
Unamruhusu mtoto aondoke halafu mkononi hana kitu wala hana kitu cha maana, matokeo yake kama ni wa kike anashawishika kujiuza.
Hakikisha mtoto kasimama na unauhakika kasimama kikamilifu ndio umuache.
🙏🙏Umeandika jambo la msingi sana
Tatizo ubinafsi wako unafanya usinielewe! Maisha si ya kudekezwa! Unadhani hapa JF ni watu wangapi wazazi wao wapo Njema? After all ukipewa ujue ni investment mzazi anafanya! Je utarejesha? Unaona mengi ya mawazo yenu ni ngoni tu! Tafuta vyakologic yangu ni kwamba hayo yanayotokea kwako zidi ya wazazi wako basi yasiyokee kwa wanao zidi yako
Mimi kwa sasa natafuta wealth na sio richness,napia jua kwamba mimi siijui ladha ya mama wala baba na sina hata mia mbovu ya urithi,namaanisha ninachokiyolea hoja na ma3lezo,,kuwa mtulivu usijifanye unawajua sana watu mkuuTatizo ubinafsi wako unafanya usinielewe! Maisha si ya kudekezwa! Unadhani hapa JF ni watu wangapi wazazi wao wapo Njema? After all ukipewa ujue ni investment mzazi anafanya! Je utarejesha? Unaona mengi ya mawazo yenu ni ngoni tu! Tafuta vyako
Acha nadharia kijana! Unavyofikiria wazazi wako wangekua, naomba nikukatishe tamaa kuwa was ingalikuwa hivyo. Sie tunaongea with experience! Kazi ya mzazi ni kumsomesha kijana na baada ya hapo akajitafutie vyake. Full stop! Hii ya Wahindi na waarabu ni kitu tofauti maana inaitwa family business na family homes. UsikaririMimi kwa sasa natafuta wealth na sio richness,napia jua kwamba mimi siijui ladha ya mama wala baba na sina hata mia mbovu ya urithi,namaanisha ninachokiyolea hoja na ma3lezo,,kuwa mtulivu usijifanye unawajua sana watu mkuu
Hayo ni mawazo yako na imani yako juu ya malezi yako,kwanza uelewe sio kila kwenda shule basi nikufanikiwa kiuchumi,experience isiyo na maturity na umbumbumbu, you are applying the oldest tactics,,tengeneza mfumo wako wa maisha ya kizazi chako,once wewe wazazi wako walikulea kimafia sio na wewe uwalee kimafia,nasijawazungumzia wahindi ama waarabu hapo japo hata kwa mfano,wewe umetoa wapi?,i bet you are a such kind of parents whose daughters are selling their bodies and they are praising,,malezi hayana experience mkuu,usifanye mwanao aje kuwa chakula cha nzige,acha kuishi maisha yakukopi kwa ancestors,Nasema hivi USIMRUHUSU MWANAO AONDOKE NYUMBANI ILI HALI HANA CHOCHOTE HAKIKISHA UNAMUWEZESHA AKAJIKIMU HUWEZI BASI HAKIKISHA ANAONDOKA HAPO AKIWA AMEJIJENGA,ACHA KUWAPA WATOTO MAPITO YA HOVYO KWA KIGEZO UNAWAJENGA,ALIYEKWAMBIA KILA SHIDA INAJENGA NANI?Acha nadharia kijana! Unavyofikiria wazazi wako wangekua, naomba nikukatishe tamaa kuwa was ingalikuwa hivyo. Sie tunaongea with experience! Kazi ya mzazi ni kumsomesha kijana na baada ya hapo akajitafutie vyake. Full stop! Hii ya Wahindi na waarabu ni kitu tofauti maana inaitwa family business na family homes. Usikariri