Mimi ni mmojawapo nilivyomaliza chuo niliambiwa nisirudi home. Nikakomaa hapa mjini mpaka nikatoboa acheni kuwalegeza watoto wa kiume kwa mtoto wa kike sawa, kama hana kazi akae home.
Mzee alinambia kama unafungua biashara niione hapo nitakupa pesa ya kukuza biashara. Acheni kuwalemaza watoto wa kiume, unampa mtaji anakwenda kidimbwi kula bata ananunua na macho 3.
Akimaliza chuo fukuza akatafute maisha hapo atapata akili ya maisha.