Si kila mtu ni wa kumkaribisha nyumbani kwako

Wezi wa mkeo na mali zako nk
Wanaongozwa na hizo evil spirit wote ni wale wale
 
utawajuaje kama huyu ana roho chafu au safi? Bibilia inasema karibishaneni ninyi kwa ninyi maana kwa kufanya hivyo mnaweza kuwakaribisha na malaika, akija na roho chafu inabidi aondoke nayo unakubalije akaiacha?
 
Beware of strangers. That's all you were supposed to say instead of just hitting around the bush..
 
utawajuaje kama huyu ana roho chafu au safi? Bibilia inasema karibishaneni ninyi kwa ninyi maana kwa kufanya hivyo mnaweza kuwakaribisha na malaika, akija na roho chafu inabidi aondoke nayo unakubalije akaiacha?
Kutambua huyu ni mwema au mbaya ni ngumu sana
Maombi yanaitajika katika hilo akija na mambo yake basi yamrudie mwenyewe
 
Kutambua huyu ni mwema au mbaya ni ngumu sana
Maombi yanaitajika katika hilo akija na mambo yake basi yamrudie mwenyewe
Basi kama unaamini hivyo, wewe wakaribishe, maana unaweza sema huyu simkaribishi sio mwema kumbe ndio mwema, cha msingi izingire nyumba yako kwa damu ya Yesu, ili kama anakuja na matunguli yake ayaache huko huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…