mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Hata mimi piaMi siutaki hata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi piaMi siutaki hata kidogo
Uvunjwe haraka snHata mimi pia
Hivi 'legally' Zanzibar ni lini ilikuwa nchi?Legally speaking, kwa sasa hakuna nchi inaitwa Tanganyika, hivyo sijakosea kitu, nimefanya hivyo nikielewa
Inashangaza, inasikitisha, inaudhi na inakasirisha. Watanganyika tumekuwa kama kondoo, tumebaki tu tunaswagwa tukipelekwa machinjoni. Kwa hakika tusimlaumu mtu hapa, tujilaumu tu sisi wenyewe kwa kuruhusu hali hii. Wajukuu wetu watakaposoma jinsi tulivyoruhusu hali hii hakika watatulaani.Sasa kama watanganyika wamelala unategemea afanye nini zaidi ya kuuza kila kitu.
Hili nalo tutalitizama.Najua kwamba Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, lakini ni jambo lililo wazi kwamba yeye kama Rais wa Tanzania, maamuzi yake kwa zaidi ya 98% yanahusu upande wa Tanzania bara peke yake, kwa sababu upande wa Zanzibar wana raisi wao na serikali yao.
Katika hali kama hii, na ukizingatia kwamba Rais Samia anatokea upande wa Zanzibar, ningeshauri sana kwamba Rais Samia ajiepushe kufanya maamuzi makubwa ambayo ni ya muda mrefu (yana lock-in effect ya muda mrefu) upande wa bara peke yake. Kumekuwa na hisia zinazozidi kukua kwamba Rais Samia anafanya maamuzi ambayo baadaye yatakuwa na athari mbaya upande wa Tanzania bara, wakati yeye amemaliza muda wake na kurudi Zanzibar, na kuwaacha Watanzania bara wakisumbuliwa na matokeo ya maamuzi yake.
Mifano ya maamuzi ambayo Rais Samia anachukua juu ya mambo yanayohusu bara peke yake ni kama suala la mkataba wa bandari kwa DP Word ya Dubai, na hili la kuchimba madini ndani ya mbuga ya Serengeti na nyinginezo, ambapo, TANAPA, chombo cha utalii Tanzania bara, kilishalikataza sana.
Ingekuwa busara sana kama Rais Samia angeonyesha subira na kuacha maamuzi juu ya mambo makubwa kama hayo, yenye long term lock-in effect, yafanywe wakati Rais wa Tanzania ni mtu kutoka upande wa bara. Hii itasaidia kutokuza chuki na kutoa hofu upande wa bara kwamba Raisi Samia hafanyi mambo kwa manufaa ya watu wa bara, na labda ana ajenda ya siri.
🚮🚮Najua kwamba Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, lakini ni jambo lililo wazi kwamba yeye kama Rais wa Tanzania, maamuzi yake kwa zaidi ya 98% yanahusu upande wa Tanzania bara peke yake, kwa sababu upande wa Zanzibar wana raisi wao na serikali yao.
Katika hali kama hii, na ukizingatia kwamba Rais Samia anatokea upande wa Zanzibar, ningeshauri sana kwamba Rais Samia ajiepushe kufanya maamuzi makubwa ambayo ni ya muda mrefu (yana lock-in effect ya muda mrefu) upande wa bara peke yake. Kumekuwa na hisia zinazozidi kukua kwamba Rais Samia anafanya maamuzi ambayo baadaye yatakuwa na athari mbaya upande wa Tanzania bara, wakati yeye amemaliza muda wake na kurudi Zanzibar, na kuwaacha Watanzania bara wakisumbuliwa na matokeo ya maamuzi yake.
Mifano ya maamuzi ambayo Rais Samia anachukua juu ya mambo yanayohusu bara peke yake ni kama suala la mkataba wa bandari kwa DP Word ya Dubai, na hili la kuchimba madini ndani ya mbuga ya Serengeti na nyinginezo, ambapo, TANAPA, chombo cha utalii Tanzania bara, kilishalikataza sana.
Ingekuwa busara sana kama Rais Samia angeonyesha subira na kuacha maamuzi juu ya mambo makubwa kama hayo, yenye long term lock-in effect, yafanywe wakati Rais wa Tanzania ni mtu kutoka upande wa bara. Hii itasaidia kutokuza chuki na kutoa hofu upande wa bara kwamba Raisi Samia hafanyi mambo kwa manufaa ya watu wa bara, na labda ana ajenda ya siri.
Na mie siutaki kwa sababu Wazanzibar hawautakiMi siutaki hata kidogo
NI wanafiki wanautaka sn sababu wanafaidika kupita kiasiNa mie siutaki kwa sababu Wazanzibar hawautaki
Ninavyojua ni baadhi tu ya Watanganyika ambao wanaulazimusha muungano kwa sababu wanafaidika nao. HIcho kikundi cha wasaliti ndani ya Tanganyika kinajiita CCM. Nje ya muungano hakuna CCM na ndio maana juhudi kubwa zinafanyika kuhakikisha hawaachii madaraka hata iweje!Siyo Watanganyika ni CCM na Wabunge wa CCM pamoja na VIongozi wa Serikali wasioijali mama Tanganyika.
Kelele za Wazanzibar ni sawa na chura kwani muungano ndio kwa sasa unawasetiri kupitia CCM. Watanganyika ndani ya CCM ni wachoyo, wabinafsi na walafi wakijifikiria tu wao na hawana habari na ndugu zao huku bara shida wananzopata. Kwao mradi mikono yao huenda kinywani.Nakuhakikishia kama kuna kitu kinawatia hofu Wazanzibar ni kuvunjika Muungano.
Muungano ukivunjika, wengi wa Wazanzibar hawatakuwa na pa kwenda. Wanauhitaji muungano kama wanavyohitaji hewa ya oxygen. Hao wapiga kelele ni wanafiki wakubwa.Usiwasikilize akina '' wa Oman koko'
Huo uthubutu wautoe wapi? Nje ya muungano Wazanzibari ni kama samaki nje ya maji. Wengi wataishia ulowezi nje ama ndani ya Tanganyika.Wana uwezo wa kuvunja muungano, hawana hawana uthubutu au ubavu wala pumzi
Rais wa tanzania anafanya maamuzi kwa maslahi ya Tanzania.Haya
Japo wenye akili twajua unazungumzia Utumbuzi 😂
Kwanini hutaki kukubali ukweli kwamba watanganyika ndio wanafosi muungano?
Unajua wale kule zenji walianzisha hata harakati za uamsho kudai Zanzibar yao na waliishia wapi?
Acha masihara kwenye mambo makubwa bwashee
Labda kumtoa ndugu January Makamba pale Foreign 🐼Rais wa tanzania anafanya maamuzi kwa maslahi ya Tanzania.
Hayo maamuzi ya upoande moja ni kama yepi?
Kumbe unaelewa bali unajitoa akili kimakusudi?Nnachokiona mimi ni kuwa Tanzania bara inajiundia migogoro ya Utaifa huko siku za usoni.
Kuepusha ni lazima kuwe na serikali kama ilivyo kwenye makubaliano ya awali.
Serikali ya Tanganyika iwepo kwa maslahi ya Tanhganyika, Serikali ya Zanzibar iwepo kwa maslahi ya Zanzibar. Serikali ya tanzania iwepo kwa maslahi ya Muunhgano tu na yaliyomo kwenye muungano tu.
Kumbe unaelewa bali unajitoa akili kimakusudi?
Mambo ya muungano yanajulikana, na japo Tanzania bara haina serikali yake, mambo yaliyofanywa kuwa ya Zanzibar yanafanya mambo yale yale yakiwa kwenye muungano yasiwe tena ya muungano bali ya Tanzania bara.
Kwa mfano, huwezi kusema mafuta yaliyoko Zanzibar ni suala la Zanzibar, na mafuta yaliyoko bara ni ya muungano. Ukishafanya mafuta yaliyoko visiwani ni ya Zanzibar, inference ni kwamba mafuta yaliyoko bara hayapaswi tena kuonwa kama ni mafuta ya muungano.
Kumbuka kwamba, kimsingi, iwe imeandikwa kwenye katiba au la, mteule wa kugombea uraisi wa Tanzania siku zote atatoka bara, na mgombea mwenza kutoka Zanzibar. Yote haya ni kutambua kwamba siku hizi raisi wa Tanzania kimsingi ni raisi wa Tanzania bara. Kuna kama 2% ya mambo atakayofanya kama raisi yataihusu Zanzibar, na sana sana ni mambo ya nchi za nje.
Katika mpangilio huu, hawakuona mbali na walisahau kusema raisi akifa makamu wa raisi hapaswi kuwa raisi kwa sababu siku zote makamu wa raisi wa kupigiwa kura atakuwa ni kutoka Tanzania bara, na akiwa raisi wa Tanzania ndio atakuwa raisi wa Tanzania bara, bila serikali ya Tanzania bara kuwapo rasmi.
Theoretically, ukitaka kusawazisha hali iliyopo, ya Samia kuwa raisi wa Tanzania kutoka Zanzibar, inabidi mtu kutoka bara aende akawe raisi wa serikali ya mapinduzi Zanzibar.
Ndio maana nikasema, kwa kuwa Samia anatoka Zanzibar kutokana na jambo lisilotazamiwa, ni busara kwamba asifanye uamuzi kuhusu mambo makubwa ya bara, na kusubiri hadi raisi kutoka bara akiwa madarakani ndio afanye hayo maamuzi.
Haswaa! na sijui kwanini wamekaa kimya. Wazanzibar wana 'double face' au kaunafiki..sasa hivi Maraisi wote wanatoka Zanzibar. Kama wako serious huu ndio muda muafaka wa kuvunja muungano.
Ni CCM , Mag3 anasema ni kakundi kadogo kanafaidika! Wananchi wa kawaida hawataki huu muundo...ningekuelewa kama ungesema CCM ndio wanang'ang'ania muungano. Na humo wako Watanganyika na Wazanzibari.
Nnachokiona mimi ni kuwa Tanzania bara inajiundia migogoro ya Utaifa huko siku za usoni.
Kuepusha ni lazima kuwe na serikali kama ilivyo kwenye makubaliano ya awali.
Serikali ya Tanganyika iwepo kwa maslahi ya Tanhganyika, Serikali ya Zanzibar iwepo kwa maslahi ya Zanzibar. Serikali ya tanzania iwepo kwa maslahi ya Muunhgano tu na yaliyomo kwenye muungano tu.
La sivyo irudishwe serikali iliyokuwa inatawala kabla ya ujio wa wajerumani, tuwe na Zenjbar tu. Yaani Bara la watu wenye pua pana. Inasawa wengine wanatafasiri kuwa ni "bara la mtu mweusi". Serikali moja tu ya Zenjbar.