FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Serikali iliyotuwekea misingi mibovu mpaka tukawa masikini wa mwisho duniani?..serikali zinazopaswa kurudishwa ni zile zilizokuwepo 1964 kabla ya muungano.
"Kazi ya Mungu haina makosa".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali iliyotuwekea misingi mibovu mpaka tukawa masikini wa mwisho duniani?..serikali zinazopaswa kurudishwa ni zile zilizokuwepo 1964 kabla ya muungano.
Kwa hiyo Rais kupanga safu yake upya imewakasirisha?Labda kumtoa ndugu January Makamba pale Foreign 🐼
Labda Watoto wa Waasisi ni special 😂😂Kwa hiyo Rais kupanga safu yake upya imewakasirisha?
Najua umeshaelewa, ila kukubali mbele ya watoto ndio shida, halafu sasa hivi wamebadilishana mtanganyika anatawala zenji na mzenji anatawala bara..sasa hivi Maraisi wote wanatoka Zanzibar. Kama wako serious huu ndio muda muafaka wa kuvunja muungano.
..ningekuelewa kama ungesema CCM ndio wanang'ang'ania muungano. Na humo wako Watanganyika na Wazanzibari.
Sasa hivi.Hivi 'legally' Zanzibar ni lini ilikuwa nchi?
Yaani fasta tuUvunjwe haraka sn
inakwaza kuona nchi yenye raia zaidi ya 58m inashindanishwa waajiriwa/wateuliwa na kawilaya kenye watu hata 2m hawafiki, kazanzibar. Tanganyika ipo mioyoni mwa wengi na kuna siku itafufuka kwa nguvu kubwa sana, na wale walioibeza watatafuta kwa kwenda.Najua kwamba Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, lakini ni jambo lililo wazi kwamba yeye kama Rais wa Tanzania, maamuzi yake kwa zaidi ya 98% yanahusu upande wa Tanzania bara peke yake, kwa sababu upande wa Zanzibar wana raisi wao na serikali yao.
Katika hali kama hii, na ukizingatia kwamba Rais Samia anatokea upande wa Zanzibar, ningeshauri sana kwamba Rais Samia ajiepushe kufanya maamuzi makubwa ambayo ni ya muda mrefu (yana lock-in effect ya muda mrefu) upande wa bara peke yake. Kumekuwa na hisia zinazozidi kukua kwamba Rais Samia anafanya maamuzi ambayo baadaye yatakuwa na athari mbaya upande wa Tanzania bara, wakati yeye amemaliza muda wake na kurudi Zanzibar, na kuwaacha Watanzania bara wakisumbuliwa na matokeo ya maamuzi yake.
Mifano ya maamuzi ambayo Rais Samia anachukua juu ya mambo yanayohusu bara peke yake ni kama suala la mkataba wa bandari kwa DP Word ya Dubai, na hili la kuchimba madini ndani ya mbuga ya Serengeti na nyinginezo, ambapo, TANAPA, chombo cha utalii Tanzania bara, kilishalikataza sana.
Ingekuwa busara sana kama Rais Samia angeonyesha subira na kuacha maamuzi juu ya mambo makubwa kama hayo, yenye long term lock-in effect, yafanywe wakati Rais wa Tanzania ni mtu kutoka upande wa bara. Hii itasaidia kutokuza chuki na kutoa hofu upande wa bara kwamba Raisi Samia hafanyi mambo kwa manufaa ya watu wa bara, na labda ana ajenda ya siri.
Unapoteza muda wako bure kushauri wapumbavuuNajua kwamba Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, lakini ni jambo lililo wazi kwamba yeye kama Rais wa Tanzania, maamuzi yake kwa zaidi ya 98% yanahusu upande wa Tanzania bara peke yake, kwa sababu upande wa Zanzibar wana raisi wao na serikali yao.
Katika hali kama hii, na ukizingatia kwamba Rais Samia anatokea upande wa Zanzibar, ningeshauri sana kwamba Rais Samia ajiepushe kufanya maamuzi makubwa ambayo ni ya muda mrefu (yana lock-in effect ya muda mrefu) upande wa bara peke yake. Kumekuwa na hisia zinazozidi kukua kwamba Rais Samia anafanya maamuzi ambayo baadaye yatakuwa na athari mbaya upande wa Tanzania bara, wakati yeye amemaliza muda wake na kurudi Zanzibar, na kuwaacha Watanzania bara wakisumbuliwa na matokeo ya maamuzi yake.
Mifano ya maamuzi ambayo Rais Samia anachukua juu ya mambo yanayohusu bara peke yake ni kama suala la mkataba wa bandari kwa DP Word ya Dubai, na hili la kuchimba madini ndani ya mbuga ya Serengeti na nyinginezo, ambapo, TANAPA, chombo cha utalii Tanzania bara, kilishalikataza sana.
Ingekuwa busara sana kama Rais Samia angeonyesha subira na kuacha maamuzi juu ya mambo makubwa kama hayo, yenye long term lock-in effect, yafanywe wakati Rais wa Tanzania ni mtu kutoka upande wa bara. Hii itasaidia kutokuza chuki na kutoa hofu upande wa bara kwamba Raisi Samia hafanyi mambo kwa manufaa ya watu wa bara, na labda ana ajenda ya siri.
Najua umeshaelewa, ila kukubali mbele ya watoto ndio shida, halafu sasa hivi wamebadilishana mtanganyika anatawala zenji na mzenji anatawala bara
Ccm wapo makini sana, haiwezi kutokea hata mara moja marais wote wakatoka upande mmoja wala dini moja, wala makamu na rais wakafanane, katu haitatokea tena
*
Kama ulijua hufahamu, Huseni ni mbara tena mtanganyika original
Una hoja Mkuu.Najua kwamba Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, lakini ni jambo lililo wazi kwamba yeye kama Rais wa Tanzania, maamuzi yake kwa zaidi ya 98% yanahusu upande wa Tanzania bara peke yake, kwa sababu upande wa Zanzibar wana raisi wao na serikali yao.
Katika hali kama hii, na ukizingatia kwamba Rais Samia anatokea upande wa Zanzibar, ningeshauri sana kwamba Rais Samia ajiepushe kufanya maamuzi makubwa ambayo ni ya muda mrefu (yana lock-in effect ya muda mrefu) upande wa bara peke yake. Kumekuwa na hisia zinazozidi kukua kwamba Rais Samia anafanya maamuzi ambayo baadaye yatakuwa na athari mbaya upande wa Tanzania bara, wakati yeye amemaliza muda wake na kurudi Zanzibar, na kuwaacha Watanzania bara wakisumbuliwa na matokeo ya maamuzi yake.
Mifano ya maamuzi ambayo Rais Samia anachukua juu ya mambo yanayohusu bara peke yake ni kama suala la mkataba wa bandari kwa DP Word ya Dubai, na hili la kuchimba madini ndani ya mbuga ya Serengeti na nyinginezo, ambapo, TANAPA, chombo cha utalii Tanzania bara, kilishalikataza sana.
Ingekuwa busara sana kama Rais Samia angeonyesha subira na kuacha maamuzi juu ya mambo makubwa kama hayo, yenye long term lock-in effect, yafanywe wakati Rais wa Tanzania ni mtu kutoka upande wa bara. Hii itasaidia kutokuza chuki na kutoa hofu upande wa bara kwamba Raisi Samia hafanyi mambo kwa manufaa ya watu wa bara, na labda ana ajenda ya siri.
Labda Watoto wa Waasisi ni special 😂😂
Ulale Unono 😃
Uvunjwe hata Ijumaa ijayoYaani fasta tu
Akina Maharagwe ni WA hapa hapa town kama Pedeshee Amos Makala na Mongela 😂Mtoto akirithi kazi za wazazi wake kuna ubaya? Tena huyo anakuwa mzuri zaidi.
Tazama wahindi na Waarabu wanavyotesa watoto zao kwa kazi za kurithi
kwa wazazi wao.
Unataka mtu katoka maporini huko mjini kaja kwa kusoma tu akihiytimu anapewa shirika la umma ya usafirishaji?
Matokeo; DMT chali, UDA chali, KAMATA chali. hatujakoma, sasa BRT chali.
Tunaisubiri na ATC na SGR, kama hatua za haraka hazitachukuliwa, na zenyewe chali.
Ijumaa kote huko kwa nini? Yaani ni fasta tu hata sasaUvunjwe hata Ijumaa ijayo
Hatari snIjumaa kote huko kwa nini? Yaani ni fasta tu hata sasa
Halafu tuone kama hatutakula urojo
Mtoto akirithi kazi za wazazi wake kuna ubaya? Tena huyo anakuwa mzuri zaidi.
Tazama wahindi na Waarabu wanavyotesa watoto zao kwa kazi za kurithi
kwa wazazi wao.
Unataka mtu katoka maporini huko mjini kaja kwa kusoma tu akihitimu anapewa shirika la umma la usafirishaji?
Matokeo; DMT chali, UDA chali, KAMATA chali. hatujakoma, sasa BRT chali.
Tunaisubiri na ATC na SGR, kama hatua za haraka hazitachukuliwa, na zenyewe chali.
Januari alitakiwa aishie jeshini na kwenye chama tu, kama baba'ke.
Nape, mwisho kabisa ukuu wa mkoa tu.
Nadhani alikuwa masijala!..Je, Mama Abduli naye alitakiwa aishie kwenye ualimu, kwasababu ilikuwa kazi ya Mzee wake?
Mkuu ni lazima wakubaliane na Nchi ya Zanzibar. Kwenye makubaliano ni budi kuwe na time mbili, moja ya Nchi ya Zanzibar na ingine ya Nchi gani (Tanganyika)? maana Tanganyika sio nchi, watu gani wataiwakilisha wenye hadhi ya Nchi.Linatekelezeka kwa kuirudisha nchi ya Tanganyika.
Kwanini iwe dhambi kuirudisha hiyo nchi?
Kumbe unaelewa bali unajitoa akili kimakusudi?
Mambo ya muungano yanajulikana, na japo Tanzania bara haina serikali yake, mambo yaliyofanywa kuwa ya Zanzibar yanafanya mambo yale yale yakiwa kwenye muungano yasiwe tena ya muungano bali ya Tanzania bara.
Kwa mfano, huwezi kusema mafuta yaliyoko Zanzibar ni suala la Zanzibar, na mafuta yaliyoko bara ni ya muungano. Ukishafanya mafuta yaliyoko visiwani ni ya Zanzibar, inference ni kwamba mafuta yaliyoko bara hayapaswi tena kuonwa kama ni mafuta ya muungano.
Kumbuka kwamba, kimsingi, iwe imeandikwa kwenye katiba au la, mteule wa kugombea uraisi wa Tanzania siku zote atatoka bara, na mgombea mwenza kutoka Zanzibar. Yote haya ni kutambua kwamba siku hizi raisi wa Tanzania kimsingi ni raisi wa Tanzania bara kwa sababu Zanzibar inajitegema kiserikali. Kuna kama 2% ya mambo atakayofanya kama raisi yataihusu Zanzibar, na sana sana ni mambo ya nchi za nje.
Katika mpangilio huu, hawakuona mbali na walisahau kusema raisi akifa makamu wa raisi hapaswi kuwa raisi kwa sababu siku zote makamu wa raisi wa kupigiwa kura atakuwa ni kutoka Tanzania bara, na akiwa raisi wa Tanzania ndio atakuwa raisi wa Tanzania bara, bila serikali ya Tanzania bara kuwapo rasmi. Raisi akifa na makamu wa Raisi toka Zanzibar akawa raisi basi awe acting president kwa maximum mwaka mmoja tu ili ndani ya muda huo uchaguzi mpya wa raisi ufanyike kisha arudie kuwa makamu wa raisi.
Theoretically, ukitaka kusawazisha hali iliyopo, ya Samia kuwa raisi wa Tanzania kutoka Zanzibar, inabidi mtu kutoka bara aende akawe raisi wa serikali ya mapinduzi Zanzibar. Tumpeleke Mwigulu akawe raisi kule, mweupe kama wao.
Ndio maana nikasema, kwa kuwa Samia anatoka Zanzibar kutokana na jambo lisilotazamiwa, ni busara kwamba asifanye maamuzi kuhusu mambo makubwa ya bara yenye long term lock-in effect, na kusubiri hadi raisi kutoka bara akiwa madarakani ndio afanye hayo maamuzi.