Je unejiridhisha kuwa kuna abiria wa kutosha kwenda Chato international Airport au tunachoma tu mafuta????Hiyo account ya Air Tanzania itakua ya hapo ufipa.
Verified account ya air tanzania twitter haina hiyo taarifa.
Tulishabishana sana humu kuhusu biashara ya ndege kwenye mada za barafu kabla na baada ya ununuzi wa ndege kwenye kila angle.ATCL walikuwa na LONG TERM BUSINESS PLAN ambayo Ilikuwa viable lakini ikaja kuvurugwa baada ya Magufuli kuliweka shirika directly under White House control. Wakaanza kununua ndege bila mpango ,hata bila kujua zingekenda routes gani!!! Hawawezi kwenda routes nyingine kwa kuogopa madeni hence the planes are underutilized.
Duh!!!!Unakuta na wewe unafamilia inakutegemea kama kaka yao, mjomba wao, baba yao na pengine ukute ni mme wa mwanamke 1 hapa duniani[emoji23][emoji23]..
Sawa bana ndio maana ya utanda- wazi.
Wajinga kama nyie mlitakiwa kunyweshwa sumu pindi mnazaliwa
Kwanza jifunze matumizi ya "h". Pili; usilinganishe Tanzania na nchi kama US, Australia and the like. Tatu; hata kama kulikuwa na umuhimu wa kujenga airport kama hizo ulizosema ndiyo ilikuwa ijengwe Chato? Hayo ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Nne; hakukuwa na umuhimu wowote wa kujenga airport Chato.
Nchi kubwa duniani kama US, Canada, Australia, Russia na China zina airport kibao ambazo sio busy zingine kubwa Chato cha mtoto; na bado zina operate.
Kushindwa kupeleka ndege Chato issue aiwezi kuwa uwanja auna economic benefits; it’s just that shirika la ndege lina business plan mbovu.
YouTube ina documentary nyingi sana interesting for free, ebu tutumie free time kujifunza mambo mbali mbali duniani sio kuangalia tu kuna umbea gani unao trend.
Huko Alaska kuna bush airports zinatua ndege za watu 20-30 na zipo busy, ukienda Canada shirika kubwa la ndege linamiliki mpaka beech 1900 planes kwa mazingira yao ilikuchukua abiria wachache maeneo yasiyo busy kuwapeleka miji mikubwa for connection flights or connecting people within small cities. Chato inaweza kutumika na ndege kama hizo kwenda mwanza, musoma, kagera, tabora etc.
Ikitokea Chato kufungwa au airport yoyote Tanzania ni weredi wa management ya ATCL, halafu ata Sumbawanga Magufuli kawapa airport, Iringa alikarabati na maeneo mengi tu Tanzania; mbona hizo airport aziongelewi.
Mungu ni fundi mno.Mungu ni fundi sana!!
Ni kuipanga tu inaweza iwe sawa kama wakitaka.Nauli ya ndege na basi ni sawa?
Ndio wamwfuta na sio ajabu,lakini watu wa chato wanaweza kuutangaza mji wao na baadae ukapata watalii na atcl itaenda tuYasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege.
=====
Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato.
Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina uthibitisho wa Tangazo wanalolisambaza. ATCL haijatoa kauli yoyote ya kufuta safari kuelekea Geita.
Tunandika taarifa hizi tukiwa tumewasiliana na ATCL ambao wamesema safari ziko tatu kwa wiki kama ilivyokuwa awali na ndege hutua uwanja wa ndege wa Chato
Ngoja nikusaidie kama hunauelewa wa aviation. Ni hivi kutoka Dar to Chato then Mwanza back to Dar ni route njema na wala hakuna hasara yamafuta hata tukipata abilia wawili wa kushuka na kupanda ila in avaerage tunashusha 10 na kupandisha 8-10, sasa kwa kuwa tunakuwa intransit hiyo iko vyema.Shida ingekuwa ni route ya kutoka Dar to chato then to Dar hapo ingekuwa ni issueJe unejiridhisha kuwa kuna abiria wa kutosha kwenda Chato international Airport au tunachoma tu mafuta????
Kwanza jifunze kujibu hoja ki mantiki kabla kukariri upuuzi unaodhani ni muhimu kwangu.Kwanza jifunze matumizi ya "h". Pili; usilinganishe Tanzania na nchi kama US, Australia and the like. Tatu; hata kama kulikuwa na umuhimu wa kujenga airport kama hizo ulizosema ndiyo ilikuwa ijengwe Chato? Hayo ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Nne; hakukuwa na umuhimu wowote wa kujenga airport Chato.
Hivi wewe hujui kuwa kuna mji wa kibiashara katoro na geita yenyewe. Huko unakosema abiria wengi wa Chatto airport wanatoka hata sielewi unatumia kigezo gani? Au kwa sababu huko nilikoseama wanatoka wasukuma ndo maana hupatai? Hivi hujui kuwa wapanda ndege wengi wa ukanda huo ni wasukuma na wahaya?Sumu hatunywi, ila hilo liuwanja halina tija. Hata hao abiria wachache wanaoteremkia hapo ni wa Ngara, Muleba na Karagwe.
Mwendazake alifuja sana Kodi zetu kwa kuwekeza kipumbafu Kijijini kwake
Long term business plan kabla ya Magufuli walikuwa na ndege gani yakuwafanya wawe na long term business plan?ATCL walikuwa na LONG TERM BUSINESS PLAN ambayo Ilikuwa viable lakini ikaja kuvurugwa baada ya Magufuli kuliweka shirika directly under White House control. Wakaanza kununua ndege bila mpango ,hata bila kujua zingekwenda routes gani!!! Hawawezi kwenda routes nyingine kwa kuogopa madeni hence the planes are underutilized.
Ni uhayawani kujenga airport Chato ili uje u-justfy commercial viability kwa kuingia YouTube kutafuta viwanja vya Alaska. Hiyo siyo akili ni matope
Nchi kubwa duniani kama US, Canada, Australia, Russia na China zina airport kibao ambazo sio busy zingine kubwa Chato cha mtoto; na bado zina operate.
Kushindwa kupeleka ndege Chato issue aiwezi kuwa uwanja auna economic benefits; it’s just that shirika la ndege lina business plan mbovu.
YouTube ina documentary nyingi sana interesting for free, ebu tutumie free time kujifunza mambo mbali mbali duniani sio kuangalia tu kuna umbea gani unao trend.
Huko Alaska kuna bush airports zinatua ndege za watu 20-30 na zipo busy, ukienda Canada shirika kubwa la ndege linamiliki mpaka beech 1900 planes kwa mazingira yao ilikuchukua abiria wachache maeneo yasiyo busy kuwapeleka miji mikubwa for connection flights or connecting people within small cities. Chato inaweza kutumika na ndege kama hizo kwenda mwanza, musoma, kagera, tabora etc.
Ikitokea Chato kufungwa au airport yoyote Tanzania ni weredi wa management ya ATCL, halafu ata Sumbawanga Magufuli kawapa airport, Iringa alikarabati na maeneo mengi tu Tanzania; mbona hizo airport aziongelewi.
Wasukuma watapandia Mwanza, Wahaya watapandia Bukoba. Jiulize ingekuwaje kama hizo fedha za kujenga Chato kma zingekwenda ku upgrade Mwanza Airport?Hivi wewe hujui kuwa kuna mji wa kibiashara katoro na geita yenyewe. Huko unakosema abiria wengi wa Chatto airport wanatoka hata sielewi unatumia kigezo gani? Au kwa sababu huko nilikoseama wanatoka wasukuma ndo maana hupatai? Hivi hujui kuwa wapanda ndege wengi wa ukanda huo ni wasukuma na wahaya?
Long terms business plan ya ATCL kabla ya Magufuli ilikuwa kukodi ndege mbovu kwa mkataba wa kuzitengeneza zikiaribika nothing to do with scheduled maintenance na kulipa hela nyingi za lease fees kila mwezi on grounded planes.Long term business plan kabla ya Magufuli walikuwa na ndege gani yakuwafanya wawe na long term business plan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza airport iko under upgrading mpaka sasa wanamalizia jengo la abiria jengo la mizigo tayari siku nyingi. Nani alikwambia mwanza au bukoba wanapanda hao tu. Kuna kahama pia flight ipo kwa hiyo usikariri maisha.Wasukuma watapandia Mwanza, Wahaya watapandia Bukoba. Jiulize ingekuwaje kama hizo fedha za kujenga Chato kma zingekwenda ku upgrade Mwanza Airport?
Ingekuwa bonge la idea!!
Commercial viability sio kuweka viwanja ni business plan kiwanja kilipo. Ukuona hapo nilipoandika air canada ina carriers za watu ishirini mpaka thelasini wanazotumia kusafirisha watu kutoka mji mdogo mmoja kwenda mwingine au wanazitumia kama connection flight za kwenda busy airports.Ni uhayawani kujenga airport Chato ili uje u-justfy commercial viability kwa kuingia YouTube kutafuta viwanja vya Alaska. Hiyo siyo akili ni matope
Itakuwa kama kule kwa dictater Mobutu.Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege.
=====
Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato.
Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina uthibitisho wa Tangazo wanalolisambaza. ATCL haijatoa kauli yoyote ya kufuta safari kuelekea Geita.
Tunaandika taarifa hizi tukiwa tumewasiliana na ATCL ambao wamesema safari ziko tatu kwa wiki kama ilivyokuwa awali na ndege hutua uwanja wa ndege wa Chato
Tofautisha, hiyo ilikuwa ni private airport ya Mobutu pekee. Chato is a commercial public airport, ikishindwa sio tatizo la Magufuli ni ATCL.Itakuwa kama kule kwa dictater Mobutu.
Ni chato ya baadaeView attachment 2192600View attachment 2192601View attachment 2192603View attachment 2192606
Mzee wa Mbeya upo?Ma pilot waende tu Chato.
Wakiliona kaburi la mwamba tosha kabisa!