Si niliwaambia msio:- Bado tu mnawaza ndoa? Mtagongewa mpaka mfe..!!!

Si niliwaambia msio:- Bado tu mnawaza ndoa? Mtagongewa mpaka mfe..!!!

Sina full context ya hiyo taarifa. Lakini kwa udadisi tu kuna uwezekano hao wanawake wote ni Wafanyakazi au wasomi wanaotafuta kazi. Sababu mwanamke ni kiumbe kilichokuwa-programmed kuhudumiwa, na yeye ata automatically reciprocate hiyo treatment kwa mwili wake. Au wanaita kurudisha fadhila kwa kiswahili. It's in their nature. Hivyo ni vizuri mwanamke akiolewa akae nyumbani alee familia na mwanaume awe full support system.

Vinginevyo huko kazini ndio kutageuka nyumba na boss anayempa mshahara atamuona equivalent au kama mume. Na ndio maana wanawake wengi wenye kazi (hasa sekta binafsi) hawaheshimu ndoa zao, sababu ameolewa mara mbili. Kifuatacho tumia akili yako mwenyewe.

Alafu hao wanawake ni wakawaida kinyama, ni below, below average. Ina make sense kuwapata kirahisi sababu hawana soko, hivyo yoyote atayeonesha interest hata kama ni kiwete hawawezi kataa.
Hili nalo nenoo hao madem sio pisi kali
 
Makosa ya mtu mwengine unawaambia watu wengine wasioe?
Makosa sio ya mtu mwengine (mmoja) makosa ni ya watu zaidi ya 401.
Na hao waliopelekewa miti asilimia kubwa WAMEOLEWA.
Hao mademu hawaliwi ambao wewe unawala?
Sijawaambia msiwale ila nimewakumbusha MSIOE.
Kila mtu afanye anachotaka kuna ndoa zina amani sana na wanaongoza kujiuwa ni viumbe ambao hawako ata kwenye ndoa!!!
Hata hao 400 waliogongwa kibao ndoa zao zina amani ila mwamba kawalambisha dudu.
Endelea kukataa ndoa mkuu ila omba mungu asikupe umri mrefu pia.
Unaweza ukaoa ukiwa na miaka 30 na kufika miaka 60 mkeo akafa, then ukaishi muda mrefu bila mke.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Sikujua wewe ni mwanamke. Otherwise, why is such an irrelevant outburst? Hiyo inaitwa intellectual observation, deduction, and conclusion. I don't give a damn about ndoa. I hit and dissappear, and certainly sio wake za watu.

Mtu atakeweza kumpata mke wangu itabidi awe better than me in everything, and no one's better than me. She'll have to be an ignorant whore for that to happen, and those aren't wife material types to me.
Nadhani hizi species za kike hauna experience nazo vyakutosha, in fact she will cheat to the guy who is even worse than you think you are.
 
-5859279941407983265_120.jpg
mwamba katika pozi, ni humu tu!
 
Mbona nyie KN (Kataa Ndoa), ndiyo mnajishughulisha mno na yasowahusu..? Wenye Ndoa zao wamekaa zao tu kimya na maumivu yao moyoni..!!

'pilipili usoila yakuwashia nini'..?
Wenye ndoa ndo walikua wanatuandama sana tulikaaa kimya saivi tunawapa references tu
 
Sikujua wewe ni mwanamke. Otherwise, why is such an irrelevant outburst? Hiyo inaitwa intellectual observation, deduction, and conclusion. I don't give a damn about ndoa. I hit and dissappear, and certainly sio wake za watu.

Mtu atakeweza kumpata mke wangu itabidi awe better than me in everything, and no one's better than me. She'll have to be an ignorant whore for that to happen, and those aren't wife material types to me.
Mkuu Mimi ndume bwana wewe
 
Back
Top Bottom