Si niliwaambia msio:- Bado tu mnawaza ndoa? Mtagongewa mpaka mfe..!!!

Ukute leo tu mkeo kachezea,hata wale waliogongwa na Balta,huwaambii waume zao kitu kuhusu kuchapiwa,hadi pale ilipobaibika kwa video.
 
Damn dis hurt so much
 
ukioa kuwa na mpini kama balta, mke atatulia na kukuletea watoto sita kama wake
With all due respect madame, having elongated, colossal, and gigantic di*k doesn't guarantee your wife will be faithful.
Kwani wale wote waliuona mpini wa Baltazar kabla hawajapitiwa?
 
Bartazal 🀠🀠🀠 ngoja nikamuulize mganga wake ni yupi
 
Are you powerful than the 20 ministers of the wives in subject, or more powerful and richer than the president whose sister was eaten?

Women cheat for no reason. They're loyal to their feelings, no matter who you are or how better you think of thyself.

Learn or perish.
 
Balta alikiri nusu ya wale aliletewa na wenzao walioridhika na huduma yake. Na video nyingi kajirekodi mwenyewe zile katumia kama ulimbo kuwanasa
With all due respect madame, having elongated di*k doesn't guarantee your wife will be faithful.
Kwani wale wote waliuona mpini wa Baltazar kabla hawajapitiwa?
 
Mtu atakeweza kumpata mke wangu itabidi awe better than me in everything, and no one's better than me. She'll have to be an ignorant whore for that to happen, and those aren't wife material types to me
You seem to know little about women and their feeling. With that attitude of yours women will surprise you to death or mental breakdown.
Unaweza kuwa busy kazini au kwenye kutafuta na yeye ulimpa taarifa bado akahisi haumpi muda au una mtu nje akakusaliti easily.
Anaweza kukutana na mtu mwenye muonekano Bora kuliko wako akakusaliti.
Mnaweza kupishana jambo dogo tu tena kwa mara ya kwanza akakusaliti.
Anaweza akafanyiwa ukarimu wowote mdogo tu na co-worker au boss wake akakusaliti ili mradi amlipe fadhila.
 
Yanga bingwa wa nyokoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ najua habari unayo kilicho wapata janaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pole kwa kupigwa na kitu kizito...Uliingia kichwa kichwa kwenye Ndoa ikakunyoosha ujinga wa uliyemuoa ni wake sio wa wote
 
Yaliyotokea uko Gunea ni uhalisia wa ndoa za kisasa.
 
Huko Maofisini wanagongwa sana, maboss wanazikoboa kweli kweli

Mababu zetu waliwafanya kua mama wa nyumbani ila kizazi hiki kinaleta haki sawa, wakati hawasaidii matumizi yoyote ya nyumbani
Hakuna jambo linanikera kama nikikuta mtu ana tetea kiumbe cha jinsia ya kie[emoji20][emoji1785]
 
Pole kwa kupigwa na kitu kizito...Uliingia kichwa kichwa kwenye Ndoa ikakunyoosha ujinga wa uliyemuoa ni wake sio wa wote
Boss we ni mgeni wa jiji au?
1. Nani kakwambia mimi nimeoa?
2. Niliingiaje kichwakichwa na sijaoa?
3. Na kengine jamaa kapitia wake zenu 400, bado tu ni ujinga wa mmoja?

Hao 400 hawatoshi kukwambia kuwa NDOA NI UJINGA???

#YNWA.
#YANGA_BINGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…