Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

Nilitaka nikuitee mama malezi, uje utie neno hapa.
 
huyo mke ana akili chache mno Hillary clinton mwenyewe alikaa upande wa mumewe japo ushahid usiotiashaka ulitolewa na monica Lewinsky nguo za ndani za bint zikiwa na janaba la clinton hillary aliangalia ugali wake akaweka ego pembeni
 
kasimama kama mama ila mama mpumbavu
kwani kiapo kinaposema mtaishi kwa shida na raha, kuna shida zaidi ya hiyo
 
yaani mtu ambaye mnaambiwa ni mwili mmoja anataka ufungwe miaka 30
kataa ndoa mna hoja sana
 
Shida ilianzia kwa DED alifeli kutembea na Kijakazi , alichopaswa yy nikutafuta nje na nyumba yake , ila mke wa DED nae hajielewi alipaswa atulie ale unga .
Halafu,ni muislamu nadhani.Angemhalalisha kutoa nongwa.Hata kuchukua mbinu kwa Haji Manara alishindwa?Poor DED!
 
Ngoja tusubiri upelelezi wa Polisi tuupate ukweli.
 
Ila haya maisha yana mambo mengi sana ukute DED alimnyang'anya mke wake mke, sasa mke wake akaamua kumpigania mke wake.

Mambo ni mengi sana chini ya hii dunia.

Haiwezekani mke wa jamaa akamteketeza jamaa bila kuwa na kitu anachonufaika nacho. Kwa aina ya kisa chao asilimia nyingi ni wivu wa kimapenzi unauwezo wa kufanya hili litokee.
 
Endeleeni kuteteana kwenye upumbavu tu.
atoto sikiliza, hatuungi mkono alichofanya mume kwa ka minor. sheria ichukue tu mkondo wake.
tunachpinga ni mwenzi wako kuvalia njuga ufungwe
wewe huyo DED angekuwa mwanao unge report polisi hilo tukio?
 
Nani kakwambia kuwa DED kabaka.
What if ni hujuma za Bint na Mama Vs DED?

Ni mashaka na yanayoendelea huko kwenye NDOA YAO.

Huu ni mgogoro wa ndoa.

#YNWA
Ulianza kwa uhakika sana, sasa unaleta what if..... ni maoni yako au facts?
 
Yataongelewa mengi lakini mwisho wa siku kesi itaisha kimya kimya lakini mambo yakishapoa huyo mwanamke na hako kabinti wakae mguu sawa litawapata jambo
 
Ila kiukweli ukishakuwa mheshimiwa au una jina kubwa kwenye suala la mbunye unatakiwa uwe makini sana..

Kama ulikuwa mtu wa kuokota okota basi inabidi utulie.
Na hiki wengi hawakijui. Umalaya ni mbaya ila jitahidi utafute vitu classic na sio kuwinda madada wa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…