Si niliwaambia msioe! Kwanini mnaoa wakati Kuna kudhulumiwa humo?

Ila wanawake Ni shida nina brother wangu mmoja alioa mke fresh ila akahamishiwa mkoani kikazi yule mke wake akawa anamuibia ela yaan basi alichofanya akamwacha na nyumba tatu kwa ajili ya watoto aliezaa naye sasaivi kapata mke mwingine mwenye heshima na kampenda kwa dhati anakula maisha yule was zamani anajuta na ela zimeongezeka zaidi wanawake mjifunze mkipendwa # TRUE STORY
 
Shogaa at work
 
Wanaume tuowe ili tusiowe wanawake maskini ni laana ambayo haitakuacha salama
 
BIla kujali mahubiri yako. Wanaume wataoa, Wanawake wataolewa, ndoa zitadumu, ndoa zitavunjika, wasiotaka kuoa watakuwepo, wasiotaka kuolewa watakuwepo. Dunia itaendelea kujizungusha kwenye mhimili wake.
Yes taasisi ya ndoa itaendelea kuwepo milele na milele , hyo ni nature , hakuna raia wa kuweza kuipinga , ikikushinda unakaa pembeni , unaenda kujifia huko mbele Kwa mbele , watu wataendelea kuoa na kuolewa mpak sku Ile mwenye dunia yake atakapokuja
 
Reactions: Tsh
πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…