Si niliwaambia msioe! Kwanini mnaoa wakati Kuna kudhulumiwa humo?

Si niliwaambia msioe! Kwanini mnaoa wakati Kuna kudhulumiwa humo?

BIla kujali mahubiri yako. Wanaume wataoa, Wanawake wataolewa, ndoa zitadumu, ndoa zitavunjika, wasiotaka kuoa watakuwepo, wasiotaka kuolewa watakuwepo. Dunia itaendelea kujizungusha kwenye mhimili wake.

Dunia huzunguka tu Haijalishi yanayojiri juu yake.

#YNWA
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Taasisi ya ndoa miaka hii imekua ikimnufaisha sana mwanamke kuliko mwanaume.

Una hustle unaweka maisha vizuri. Then kabinti kanakuigizia upendo wa uwongo na kweli unaingia mazima unaoa.

Kumbe mwenzako alikua ana target mali zako. Anakufanyia visa mnaachana, mnagawana pasu kwa pasu unamuachia mjengo ambao anakuja kukaa na bwana ake wa ndoto zake. Bladifakeni!!!! [emoji34]

Sio ng'o!!!

""Kumbe mwenzako alikua ana target mali zako. Anakufanyia visa mnaachana, mnagawana pasu kwa pasu unamuachia mjengo ambao anakuja kukaa na bwana ake wa ndoto zake. Bladifakeni!!!!""

Much bladifakeni.

#YNWA
 
Back
Top Bottom