Si sahihi kumpa maagizo Waziri Mkuu hadharani, si kila kiongozi anaweza kupewa maagizo hadharani

Ukimsikiliza Paul, kuna kauli anayotumia '' anamshukuru Rais SSH kwa kubeba jina lake hadi Kamati kuu''
Hii ni kuwaambia watu uwepo wake si wa kubahatisha, yeye ni mteule wa Mwenyekiti wa CCM na RASI kama wao
Umechambua vizuri sana.
 
Paul atawapeleka Mzobe mzobe wachumia tumbo woote na hawana cha kumfanya
 
Nimekuelewa sana Mkuu
 
Watu mbaujasiri sana kwenye keyboard nenda ista yake au facebook kaandike haya. uone nchi yetu ilivyo .
 
Chama kimempa maagizo waziri mkuu hadharani, sio Makonda, imeisha hiyo, endeleeni kujitekenya na hizo tafsiri zenu butu
Hivi muda ambao Makonda alimpa Waziri Mkuu kumaliza tatizo la migogoro ya ardhi umewadia? Kama bado je kuna dalili za migogoto hiuo kwisha. Je muda ukifika na migogoro hiyo bado iko pale pale je Makonda anawezak kuchukua hatua dhidi ya Waziri Mkuu?
 
Yes, kama wanavyosema Tanzania ni Channel ya Vichekesho huko Mbinguni, basi wale waliokuwa wanangali hivyo vichekesho wamuulize hatua atakayochukuliwa huyo waziri mkuu baada ya kushindwa kazi.
 
😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…