Si sawa ndugu kufanya msiba wa Careen kama fursa

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Caren alikuwa muigizaji na Kwa bahati mbaya alipata umauti alipokuwa akitibiwa huko India
Tunamtakia pumziko la MILELE

Imezuka kasumba mitandao, watu wanaojiita ndugu zake ku post content kwenye mitandao ya tik tok, Instagram, Facebook n.k
Wakionyesha umahiri wao wa kulia na kuja kupost

Hivi msiba wa mpendwa wako Bado hajazikwa utapata wapi nguvu za kuja kujipost na kujibu comments kwenye mitandao

Hii sio sawa msiba ni jambo linaloweza ukimkuta kila mtu, tusitumie msiba wa huyo dada kujipa umaarufu na kutengeza contents ili mpate pesa na rambirambi

Binafsi nawalaani na huu uhuni wenu wa kijinga, na wengine wenye tabia kama za hao wanaojiita ndugu wa Careen
 
RIP japo simfahamu,hii nchi hata ukionekana tu kwenye video ya msanii maarufu hata kwa sekunde na wewe una force kuwa msanii ili watu wakufahamu.SHAME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…