Si tuliambiwa GSM ataishia kwenye mabango? Imekuwaje tena nembo yake iwe kwenye jezi za Simba?

Si tuliambiwa GSM ataishia kwenye mabango? Imekuwaje tena nembo yake iwe kwenye jezi za Simba?

Kwamba kila mdhamini anapaswa kuweka nembo yake kwenye jersey? Kama mkataba unzihusu moja kwa moja team kwanini mkataba usainiwe bila kushirikisha team za ligi kuu kupitia Bodi ya ligi? Yani mkataba usainiwe na TFF bila kuzishirikisha team Kisha ipelekwe nembo kwenye hizo team?

Inajulikana GSM ni mzalishaji wa jersey za UTOPOLO, SIMBA SC nayo ina mzalishaji wake ambaye ni VUNJABEI, inakuwaje wazalishaji wawili wahusike kwenye jersey moja yani kwamfano PUMA na NIKE wakae kwenye jersey moja?

Mpira wa TZ hautafika popote kwa style hii, ndio tunahitaji wadhamini lakini si katika hali ambayo haina utaratibu.Kama kula mdhamini atataka akae kwenye jersey itakuwaje Sasa[emoji28].

Wao wawekwe hata kwenye mango huko, hela yenyewe kidogo wanataka wavaliwe kwenye jersey , wangetoa mpunga kama wa AZAM ingekuwaje Sasa.
Mbona mwenyekiti wa bodi ya ligi alikuwepo siku ya kusaini mkataba. Ukweli ni kuwa hata kama mkataba una mapungufu lakini hayo yatajadilika. Hata kama GSM atakaa kwenye mabango, imagine uwanja wa Simba mabango ya GSm bila shàka wangejisikia vibaya
 
Utumie akili wewe..! Yule Senzo na Msukule walikuwa wanafanya nini mkutano wa kusaini mkataba...Wao ni akina nani kwenye mkataba wa TFF na GSM?
Acha uzwazwa wewe. Wale si viongozi wa Yanga . Na ninyi mngemleta yule shoga Mwijaku. Aje kwenye mkutano. Halafu unasema senzo alikuja kufanya Nini wakati yeye ndiye CEO wetu . Kweli Simba wote ni wehu.
 
We Mwehu nimemjibu yule Uto aliyesema kuwa Gsm si Yanga, ambapo nimemuliza kwahivyo Senzo alikuwa anafanya nini? Nimejibu kulingana na akili yake.

Acha kiherehere na kudandia dandia hoja, utadandiwa.
 
Mdhamini Mkuu ametoa bil2. 5 mdhamini mwenza ametoa bil2. 1 tofauti ni mil 400.halafu Kama hujui hizi bil. 2.1 zilipaswa zote ziwe za utawala(Tff)ila wamewaonea huruma tu.
Uwezo wako wa kiutopolo umeishia hapo...eti zilikuwa ziwe za utawala 😄😄😄ni hongo ama?
 
We Mwehu nimemjibu yule Uto aliyesema kuwa Gsm si Yanga, ambapo nimemuliza kwahivyo Senzo alikuwa anafanya nini? Nimejibu kulingana na akili yake.

Acha kiherehere na kudandia dandia hoja, utadandiwa.
Matusi ya nini ama wewe ni Kabwili nini!
 
Mdhamini Mkuu ametoa bil2. 5 mdhamini mwenza ametoa bil2. 1 tofauti ni mil 400.halafu Kama hujui hizi bil. 2.1 zilipaswa zote ziwe za utawala(Tff)ila wamewaonea huruma tu.
kuna mdhamin wa ligi ya tanzania anaetoa pesa nying zaid ya azam?mbona ligi haikuitwa azam na wala vilabu havikulazimishwa kuvaa nembo ya azam kama kigezo pesa watz ndio maana maisha yetu kila siku kubuluzwa na viongoz au wanasiasa kila anaepata nafas bas anajitoa ufaham kwa maslai yake hivi suhala kama ili linahitaji elimu gan kujua kama tff wanataka kuwapga baadhi ya vilabu ipo wazi mdhamin mkuu atakaa apa na wengine watakaa apa kikawaida kama sheria au kanuni inabadilishwa si sahihi uibadili wakat wa matumiz ibadilike alaf ndio utumike sasa kama tff au bodi ya ligi waliona kwamba mdhamin mkuu akae upande huu na wenza wakae sehem nyingne lin waliongea na vilabu wakakubaliana jezi ni mali ya timu mdhamin wa ligi ni mali ya tff huwez kuamka tu ukashurutisha watu ktu ikiwa kisheria anaetakiwa akae ktk jez yupo ,hao wadhamin wa ligi wakiwa mia na wote wakataka wakae ivyo ivyo ktk jez itakua jez au gazet
 
Mdhamini Mkuu ametoa bil2. 5 mdhamini mwenza ametoa bil2. 1 tofauti ni mil 400.halafu Kama hujui hizi bil. 2.1 zilipaswa zote ziwe za utawala(Tff)ila wamewaonea huruma tu.

Simba haihitaji hizo pesa za mbuzi,si tumeshaingiza 600M+ kwa CAFCC? Huyo GSM kiherehere chake,apeleke pesa zote utopoloni na siyo kutuletea drama zisizokuwa na kichwa wala miguu
 
Simba haihitaji hizo pesa za mbuzi,si tumeshaingiza 600M+ kwa CAFCC? Huyo GSM kiherehere chake,apeleke pesa zote utopoloni na siyo kutuletea drama zisizokuwa na kichwa wala miguu
Zaidi ya hizo akaunti yetu ina zaidi ya TZS. 25 bil
 
Back
Top Bottom