Si vyema kumuita Rais wetu Tour Guide. Na hii picha kweli huyu Mzungu anaonesha dharau kubwa kwetu

But, how can International Tourists dare visit A Terrorist- striken Country?!
 
OK twasubiri, ingawaje hukuyaweka vizuri matokeo tarajiwa ili ije kuwa raisi kuyapima YAMESAIDIAJE.
Tutakapo kuja kuanza kuhoji na kuulizia kuuliza mafanikio ya kweli, yasianze TENA kutoka kwenu, madai ya kuwa kuna kupingwa kupingwa au sijui, kutukanwa.
Tatizo la mambo ya kuanzishwa haraka haraka kwa PAPARA huwa yanakosa tathmini ya awali ambayo ni muhimu sana katika MIPANGO imara. Yaonekana kama vile hatukujifunza kwa yaliyotokea awamu ya tano.
 
Kupiga picha sio tatizo. Lakini ingetosha kusimama bila kushikana mikono kwa namna inavyoonekana. Kiafrika hiyo picha tafsiri yake ni kati ya au wenza wawili au babu na mjukuu, bahati mbaya ni ya mtalii na mkuu wa nchi.

Bila shaka kwao huyo mzungu ni furaha sana lakini hapa kwetu sidhani ushahidi ni michango iliyo humu.

Wahusika mnaomsaidia mkuu tunawaomba msiruhusu tena jambo kama hili mnatukwaza raia.
 
Kasema ni very special tour guide, kwa hiyo hilo nalo uliweke kichwani.....na sidhani kuwa tour guide ni laana.
 
Kwani ni uongo?
Ni kweli mama ameamua kuwa tour guide, na anaipenda hiyo kazi.
Kwanini kuna shida mtu kuwa tour guide?
Mama ameipenda hiyo kazi, mwacheni aifanye kazi yake.
Mama kaitaka mwenyewe
 
Haya mambo ya Uheshimiwa heshimiwa tunayajua sana Africa. Eti His/Her Excellence. Nchi a wenzetu kama vile US huwezi kusikia kila siku His Excellence... They only go direct Mr President or President so and so.
 
Mleta mada mshamba tu. Wenzetu kuwa tour guide, mlinzi, mhudumu wa baa au mgahawani ni kitu cha kawaida kabisa! Na ni kwa sababu hizo ni kazi HALALI!!

Wewe ndio una dharau na kazi hii ya tour guide! Ujinga na upumbavu vimekutana na kuishi kichwani kwako mpaka kichwa kinakuuma[emoji23][emoji23]
 
Wengine tunamchukulia kama mama ndo maana tunaona hadi wivu kushikwa na mzunguπŸ˜€πŸ˜€
 
Wengine tunamchukulia kama mama ndo maana tunaona hadi wivu kushikwa na mzunguπŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚ Mabeberu Sasa Hivi Hawatupendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…