Haya mama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we wa wapi? Kaulize magereza utaelewa
Jana msosi umetoka Hyatt kabla lulu hajaenda gerezani...Muna ni rafiki wa kweli wa lulu. Tangu anapata huo msala alikua nae karibu na msosi alikua anampelekea gerezan
Kademu kaselfish kale...Muna anampenda sana lulu ila lulu ndo hataki ushoga na anamkwepa haswaa!
Sijakuelewa hapa Numbisa....hebu nifafanulie
Jana msosi umetoka Hyatt kabla lulu hajaenda gerezani...
Nilisikia kuwa majizzo alikuwa pale, hakutaka kuingia mahakamani
Akiwa kwenye bajaji sasa anajificha huyo , huwezi mjua ka ni yyNakumbuka sana tu akapanga kwa milioni270
Ama kweli aliye juu mngoje chini kaaaah!
Leo wema hata gari hana
Jana Lulu anamkabidhi simu zake mbili, na vicheni cheni kabla ya kuingia mahakamani, nikajisemea huyo muna atampekuaje?....Kweli hii, niliona kipindi kile katoka jela alikua kama anampotezea hivi sema Muna akawa bado ana ile kumfuatilia fuatilia!
Ana ule UHAYATatizo la lulu ni selfishness hataki ushosti na wala time na wenziwe
Rose Ndauka nae katema cheche zake
Huyu Dada nahisigi ni mkweli, hapendi unafiki
Hata mi namsupport...Lulu kichwa sema tu malezi yamempita kushotoKwa tabia za wasanii hasa wakike ni bora tu awe mbinafsi
Ray 4 real, umesema kweli si wote ila wengi wao, ila swala la kuchukuliana Wanaume halijawah kuacha Marafiki wakarudia urafiki wao kama wa awali hata siku moja!Wapo ambao sio wanafiki mkuu mm binafsi cjaona alipokosea hamisa sema ss wenyewe ndo tushajijengea dhana hiyo kwahiyo lazma wanafiki wenzie wafikir ni unafiki
Jana Lulu anamkabidhi simu zake mbili, na vicheni cheni kabla ya kuingia mahakamani, nikajisemea hiyo muna atampekuaje?....
Ila kamuna nako kanaonekana kanafiki kishenzi
Inawezekana ujue.. wenzio wanaongea wakiwa watupu kwanini baby asimpe dili hiyo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kweli geni???? Basi zama nae anaziweza fitna. Maana alianzia kwa dina marios...ptuuuuuu ndio maana simuelewagi yule dada. Qkhaaaaaa. But naona ni mashoga now days.