Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Muna ni rafiki wa kweli wa lulu. Tangu anapata huo msala alikua nae karibu na msosi alikua anampelekea gerezan
Jana msosi umetoka Hyatt kabla lulu hajaenda gerezani...

Nilisikia kuwa majizzo alikuwa pale, hakutaka kuingia mahakamani
 
Huwa wanasema wema anaitawala insta au mchokoze wema utaoga matusi ila kwa Lulu team wema wakamshindwa maana kuna kipindi walianza mtukana kisa mavazi na mauaji ya kanumba,hakuwakalia kimya aliwajibu changanya na boss wao wema mpaka wema akaomba yaishe. Lulu ana gari hana skendo ya kodi etc ila wema sasa kila kukicha anatimuliwa alipopanga
Sijakuelewa hapa Numbisa....hebu nifafanulie
 
Kweli hii, niliona kipindi kile katoka jela alikua kama anampotezea hivi sema Muna akawa bado ana ile kumfuatilia fuatilia!
Jana Lulu anamkabidhi simu zake mbili, na vicheni cheni kabla ya kuingia mahakamani, nikajisemea huyo muna atampekuaje?....

Ila kamuna nako kanaonekana kanafiki kishenzi
 
Sio kila mtu ana roho km mlizo nazo nyie....kwn lulu alimpokonya bwana uyi hamisa au hamisa aliachana na majay ndo akaenda kwa lulu...na apo hamisa angekaa kimya bado kuna watu wangesema ana roho mbaya.....yn ss wabongo tumerogwa vibaya
 
Wapo ambao sio wanafiki mkuu mm binafsi cjaona alipokosea hamisa sema ss wenyewe ndo tushajijengea dhana hiyo kwahiyo lazma wanafiki wenzie wafikir ni unafiki
Ray 4 real, umesema kweli si wote ila wengi wao, ila swala la kuchukuliana Wanaume halijawah kuacha Marafiki wakarudia urafiki wao kama wa awali hata siku moja!
Ww rafiki yako akikuchukulia Mpenz wako utamtakia mema?
 
Labda lulu alikua na uhakika mkubwa wa kuachiwa huru. Hizo simu si angempa mama ake ,au alihofia zitawekwa bond kwa ajili ya pombe au? Bora angeziacha nyumban sehemu salama. Muna atajidakia madanga ya lulu kilaini
Jana Lulu anamkabidhi simu zake mbili, na vicheni cheni kabla ya kuingia mahakamani, nikajisemea hiyo muna atampekuaje?....

Ila kamuna nako kanaonekana kanafiki kishenzi
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kweli geni???? Basi zama nae anaziweza fitna. Maana alianzia kwa dina marios...ptuuuuuu ndio maana simuelewagi yule dada. Qkhaaaaaa. But naona ni mashoga now days.
Inawezekana ujue.. wenzio wanaongea wakiwa watupu kwanini baby asimpe dili hiyo
 
Sidhani kama kuna umuhimu wa kuendelea kununiana kwenye matatizo makubwa kama haya kisa mgegedo a.k.a mkuyenge!
Lakini kama ni mnafiki basi wote tuseme Mungu yupo.
 
Back
Top Bottom