Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Ndo jina lake aliiba chupi ya wema akapeleka kwa mganga[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ila najiuliza kwann hakutulia kwa mond au ndo kusema jamaa mbahili sana. Na mbona kwa majizo hakumuachia hata kamrithi jaman
Mwizi haswaaa wa chini chini na ndo maana hataki ushoga maana hachelewi kukubebea haswa akiwa na pesa mondi mwenyewe kamla
 
Zilikua fix tu zile. Kwanza alisema kainunua. Bongo movie mabingwa wa kuongeza sifuri
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji109] [emoji2] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] daah
 
Basi watu aina ya lulu akianzisha ushost nawe jifikirie mara mbili mbili madhumun ya urafiki huo
 
Lol! Kama alieza kwenda kummwagia zari hela wakati wa 40 ya tiffah kumbe anamla kisogo analala na diamond na kutaka kumpindua, nini kikufanye uamini yuko sincere kwa lulu, hamisa MNAFIKI wa taifa! Ni nyoka mwenye simu kali haswaaaa!
Nilishasahau unafki wake huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…