Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Huyo demu wako mshamba nae, ila nawewe kwanini ufanye usiotakiwa kuyafanya? Unajua ana wivu kwanini ufanye mambo yatayoamsha hisia zake za wivu.
 
Uyo manzi aliyekuacha nampata vizuri, ana msela mwingine walisoma Naye kitambo wako pamoja sema walizinguana ndo akawa na wewe sasa msela karudi kasamehewa.
 

Hata mm niliwahi kupitia uko..ila amini kwamba njia rahisi ya kutoka kwnye ayo mawazo ni kuwa na mwanamke mwengne hata kma hutampenda kama yule ila atakufanya uwe bize nae fulani hivi wakati kamuda kanasogea na ww unajikuta unasahau.

Yaan dawa ya mapenzi ni mapenz...ukipata jeraha la mwanamke basi mwanamke mwengine ndo anaweza kupunguza maumivu ya jeraha hilo.

Tafuta mwanamke yyte fasta awe mcheshi na awe anakupenda na kukujali naamini utakuja nishukuru baadae. Learn to love someone else..utapona kwenye hyo hali
 
mwanaume unalilia mwanamke?nyie wanaume wa kinondoni mnajiaibisha sana asee
 
Wanaume wa kinondoni wananifurahisha sna , hawakubali kuachwa na ukiwaacha kwa kulia lia wanaongoza
Sijui ni vile wanapenda kuangalia movies na wao wanaigiza
 
Wewe binti una akili sana yaani. Basi tu sina jinsi
 
Aliyekubwaga ni yupi sasa kati ya ulionao?
 

Uongo mbona hamisamobbetto anapigwa matukio miaka 11 na bado kila siku anakata miuno[emoji3]
 

Mbwa wewe kumbe unanichora kenge wewe
 

Na unayempenda pia anaona kinyaa kuwa na wewe maana hakupendi. Mwisho wa siku utajioa mwenyewe.
 
Hiyo ndo shida ya kuwa na mpenzi mmoja. Ukitoka hapo utakua umekwiva kijana wangu hatutakusumbua tena.

Haya amka ukale ndo ushaachika tena hakuna namna maisha yaendelee

Sent from my SM-A605F using JamiiForums mobile app
 
Genius
 
Ukimwagwa mwagika.Pole lakini,huyo hakuwa amekusudiwa kuwa wako,tafuta mwingine anayekupenda...Ni duara dunia,you never know,utapata amejileta kwako tena ukishamove on.
 
unapokua katika hali hiyo sidhani kama ni vizuri kukaa ndani, jitahidi utoke nje katembelee wana unaowakubali, ikiwezekana wambie ukweli nafikiri watajaribu kukupa company kidogo ya kupunguza mawazo.
 
unapokua katika hali hiyo sidhani kama ni vizuri kukaa ndani, jitahidi utoke nje katembelee wana unaowakubali, ikiwezekana wambie ukweli nafikiri watajaribu kukupa company kidogo ya kupunguza mawazo.

Acheni kumdanyanga uyo jamaa demu alimroga na limbwata aende tu kwa mganga akajinasue
 
Kaka natamani ingekua rahisi yaani kiukweli nawaza kujiua tu najaribu pambana na mawazo haya[emoji22][emoji22][emoji22]
Ukiona mtu kafa kwa mapenzi usimuone mjinga kabisa
Jiue kaka[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…