Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Kwa sasa mtashauri mpaka makoo yawakauke lakini hakuna kitakachobadilika. Love is nothing but a chemical reaction. Yaani kwa sasa anawachora tu na anawaona maboya balaa. Labda akija kutulia na makemikali yameanza kujibalansi ndiyo kidogo mnayomwambia yataanza kuwa na maana.
 
kama mimi nikiwa na stress hua nakula kwa hasira 😂😂😂
 
Ana wivu juu yangu +++
Shida ni kuchangia uzi fulani. Kaniblock kila sehemu
Kwani ni member mwenzetu humu jamvini? Niunganishe nae i promise ntawapata1nisha n penzi lenu litarudi upyaa kama mmekutana leo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi wangu nampenda sana lakini kwa dharau alizoanza kunionyesha jana na leo moyoni nimesema enough! Mda simrefu nampiga chini kabla hajaniwahi japo maumivu yake hayaelezeki. Mkuu pole sana, najua hali unayopitia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…