Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Tulikutana humu, tushakwaruzana sana kwa masuala kadhaa ya humu jf ila tunaelewana.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚
Unakula huku unalia, ni raqha mzee.!!
Nimekumbuka kitu, hizi stress hizi acheni tu... Hiyo siku niku full stressed afu nikapika tambi wee kwani zilipita kooni!! Yan ilikuwa nikila nahisi kama zinaenda kuninyonga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ikabidi niagize chakula pendwa ' chips kuku' waii mbona nilikula huku nalia cha ajabu nilivyoshiba nikawa sawa kimtindo na nikalala usingizi mzuri tu
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hiyo itakuwa dhambi, nikiwa mkubwa kama nyumba si shughuli sintoiweza.??

I've read between the lines about kuwezana thing, I guess umeiona pahala walaqhi, am I wrong.??
 
Relax kwanza..
Kisha fanya hayaa
1. Anza mazoezi kama vile Gym nk hii iyakusaidia kupunguza muda mwingi ambao ulitumia kuwa naye.
2. Tafuta online games kama vile draft nk hii pia itakupa kitu kipya kichwani.
3. Usifute namba yake unachotakiwa ni kusave jina baya kwa Mfano. FISI, JAMBAZI, CHANGU, MALAYA NK hii itakufanya umuone wa kawaida.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivii chips huwa zina nini?? Mbona huwa hazimkatai mtu kabisa eti.??

Ila nimecheka sana, ile minyoo ya kikorea usipokuwa serious inaku RIP haqyamama.!!
 
HAMIDA huyo ???
 
Dunia nzima inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya billion 7, kati ya hao 50.4% ni wanawake. Kwanini unaruhusu mtu mmoja tu ahatarishe uhai wako aiseee! Maisha ndio haya haya mkuu tafuta kifaa kingine maisha yasonge
 
Tulikutana humu, tushakwaruzana sana kwa masuala kadhaa ya humu jf ila tunaelewana.
Mimi sioni kama suala lenu ni zito kiasi hicho, labda tu huyo mpenzio amepoteza interest na wewe au ameamua kuchukua hamsini zake, kama ni swala la wivu kuhusu wewe kuchangia humu jamvini, anatakiwa ajue kwamba hii ni social network na kila mtu yupo huru kuchangia as long haujasaliti penzi lenu

Umewahi kuzungumza nae akueleze vile yeye anataka, i mean anataka u behave vipi humu jamnvini? Though hapo ni kukunyima uhuru pia
 
Aisee Mimi nilishatoka huko kitambo sana
Pitia thread hiyo chini
TAFADHALI NAOMBA USHAURI WAKO NAUMIA

Mrejesho kuhusu ushauri nilioomba

Kifupi Ni wewe kuamua kufanya mambo yako achana nae na usihangaike kutafuta demu nenda sehemu za kuchangamsha akili kama kuangalia na kucheza Mpira
Kucheza game kupiga story na Wana na mambo mengi ya burudani

Kata mawasiliano Naye
Narudia kata mawasiliano nae
Narudia kata mawasiliano nae
Usumtafute ataendelea kuona unamhitaji sana na ndio itakua furaha take kipindi hiki kuona wewe unateseka narudia tena sitisha mawasiliano nae SITISHA MAWASILIANO NAE
Kumbuka Hali hiyo kuisha itachukua muda kdg Kwa sababu hisia Kali haziondoki mapema na zitaisha endapo ukitambua kwamba hata kabla hujamfahamu na yeye kukufahamu ulikua unaishi na maisha yalienda
Jaribu kufikiri mabaya yake na si mazuri yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…