Huyo hataki kua na wewe tu sorry Kwa neno Hilo lkn ndio kweli mpotezee usimtafute nimeshakushauri piaOk. Ni Member humu nilichangia uzi fulani ndio ikawa sababu
Mapenzi yana siri kubwa sana siezi shangaa kuona mtu analiaNilikua najiamini kua mm ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu.
Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.
Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wqngu nimpendae, Nimelia.Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.
Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda
Nifanyeje jamanj
Mkuu kweli umedhamiria ,nimekuona kwenye ule Uzi wa introvert umesema hvo hvo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi wangu nampenda sana lakini kwa dharau alizoanza kunionyesha jana na leo moyoni nimesema enough! Mda simrefu nampiga chini kabla hajaniwahi japo maumivu yake hayaelezeki. Mkuu pole sana, najua hali unayopitia.
Kuna limit aliniwekea na nikawa nazifuata ila jana sijui amekuja kuwaje ndo hanitaki tena eti nabehave ovyo.Mimi sioni kama suala lenu ni zito kiasi hicho, labda tu huyo mpenzio amepoteza interest na wewe au ameamua kuchukua hamsini zake, kama ni swala la wivu kuhusu wewe kuchangia humu jamvini, anatakiwa ajue kwamba hii ni social network na kila mtu yupo huru kuchangia as long haujasaliti penzi lenu
Umewahi kuzungumza nae akueleze vile yeye anataka, i mean anataka u behave vipi humu jamnvini? Though hapo ni kukunyima uhuru pia
Mapenzi ni kitu chajabu sana. Siamini leo nimekua hiviHuyo hataki kua na wewe tu sorry Kwa neno Hilo lkn ndio kweli mpotezee usimtafute nimeshakushauri pia
Hiyo haiwezi kua sababu kuna masikhara na siriaz atakua kuna mtu kapata alikua anakuvutia time akuteme
Potezea Acha kulialia wewe ni wa kiume Una aabisha waanume
Pole sana, nahisi atakua na maamuzi mengine ila ni muda tu alikua anasubiri, jipe moyo huu sio mwisho wa maishaKuna limit aliniwekea na nikawa nazifuata ila jana sijui amekuja kuwaje ndo hanitaki tena eti nabehave ovyo.
Mkuu siwez andika kwa urefu nina homa kali mnoo.
Bora wewe una ushauri mzuri
Mkuu najiambia yote hayo ila wapii.Aisee Mimi nilishatoka huko kitambo sana
Pitia thread hiyo chini
TAFADHALI NAOMBA USHAURI WAKO NAUMIA
Mrejesho kuhusu ushauri nilioomba
Kifupi Ni wewe kuamua kufanya mambo yako achana nae na usihangaike kutafuta demu nenda sehemu za kuchangamsha akili kama kuangalia na kucheza Mpira
Kucheza game kupiga story na Wana na mambo mengi ya burudani
Kata mawasiliano Naye
Narudia kata mawasiliano nae
Narudia kata mawasiliano nae
Usumtafute ataendelea kuona unamhitaji sana na ndio itakua furaha take kipindi hiki kuona wewe unateseka narudia tena sitisha mawasiliano nae SITISHA MAWASILIANO NAE
Kumbuka Hali hiyo kuisha itachukua muda kdg Kwa sababu hisia Kali haziondoki mapema na zitaisha endapo ukitambua kwamba hata kabla hujamfahamu na yeye kukufahamu ulikua unaishi na maisha yalienda
Jaribu kufikiri mabaya yake na si mazuri yake
Sitapenda tena labda nikitakakuoaPole sana, nahisi atakua na maamuzi mengine ila ni muda tu alikua anasubiri, jipe moyo huu sio mwisho wa maisha
Hebu fikiri kabla yake maisha yalikuaje na uendelee kusonga mbele
Mkuu unanichunguza kumbe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa wanawake bhnaMkuu kweli umedhamiria ,nimekuona kwenye ule Uzi wa introvert umesema hvo hvo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
One love
Poa mkuu naomba yasinikuteOmba yasikukute ndugu
Utapenda tu, ita about time, moyo hauna adabuSitapenda tena labda nikitakakuoa
She was my first time in everything
Kwanini lakini.?
Inuka tembea mwenyewe ukipita hili hautasumbuliwa tena na wanawakeMkuu najiambia yote hayo ila wapii.
Ila umenipa moyo sana mkuu
Najiona nothing bila yeye sidhani naweza para perfect match kama huyu mwanamkeUtapenda tu, ita about time, moyo hauna adabu