Siamini kama ni kweli Alhaji Mzee Mwinyi alisahau pale panaitwa Chato

Siamini kama ni kweli Alhaji Mzee Mwinyi alisahau pale panaitwa Chato

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,321
Reaction score
2,106
Alikuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10. Hivi ni kweli alikuwa amesahau Chato au ulikuwa ni usanii tu ili kupaondolea hadhi pale? Mkiniambaia leo labda ameshaanza hata kuwasahau wanae basi ninaweza nikaamini kuwa aliposahau pale!
 
Ngojea wewe ufike age ya 95yrs tuone kama utakua hata unakumbuka jinsia yako?

Unachukulia 95yrs ni namba eeh? age is just a number ila kuanzia 90yrs Age is more than a number dear...
Ila kweli aseee!
 
Ngojea wewe ufike age ya 95yrs tuone kama utakua hata unakumbuka jinsia yako?

Unachukulia 95yrs ni namba eeh? age is just a number ila kuanzia 90yrs Age is more than a number dear...
Kabisa mkuu Mungu atujaalie na sisi tufike huko unarudi kwenye utoto
 
Back
Top Bottom