Siamini kama ni kweli Alhaji Mzee Mwinyi alisahau pale panaitwa Chato

Siamini kama ni kweli Alhaji Mzee Mwinyi alisahau pale panaitwa Chato

Binafsi naamini hakusahau, zilikuwa ni swaga tu
 
Binafsi naamini hakusahau, zilikuwa ni swaga tu
Hata mimi naona ilikuwa ni kufurahisha genge /kunogesha
lkn ukweli mpaka anaondoka madarakani Chato ilikuwa ni Kijiji kisichojulikana kabisa,
Mwinyi alipompa Rais wa awamu ya 3 Hayati B Mkapa ndipo alipoenda kumuibua hayati JPM mwendazake na alipokuwa Mbunge wa Biharamulo Mashariki na Waziri mdogo kwanza alitengeneza barabara mpya ikipitia Kijiji hicho akiichepusha ile ya awali, na akapaendeleza yeye binafsi akiwa km Waziri wa Ujenzi na Barabara
Kwa hiyo Mzee Mwinyi hakuwahi kukikanyaga Kijiji hicho ambacho kinataka kuwa mkoa licha ya Wilaya /Jimbo kwa sasa, na ndiye yeye Rais mstaafu Al Hassan Mwinyi aliyesema JPM awe wa milele hapo sasa
 
Nimecheka Sana, baada ya kusoma comment za wadau mbalimbali humu..[emoji1666] mwinyi namkumbuka Sana..Mana enzi zake nliokota hela Sana..njian [emoji122]
 
Back
Top Bottom