Siamini kama ni kweli Alhaji Mzee Mwinyi alisahau pale panaitwa Chato

Alikuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10. Hivi ni kweli alikuwa amesahau Chato au ulikuwa ni usanii tu ili kupaondolea hadhi pale? Mkiniambaia leo labda ameshaanza hata kuwasahau wanae basi ninaweza nikaamini kuwa aliposahau pale!
Huamini?
 
Mwinyi anapenda utani! Kuna siku alidai ameanza kukisahau kiswahili ila kapiga kizungu mbele ya mwendazake kitu ambacho mimi niliona kama anatuma jumbe kuwa mwendazake hajui kizungu na kiswahili pia.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alikuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10. Hivi ni kweli alikuwa amesahau Chato au ulikuwa ni usanii tu ili kupaondolea hadhi pale? Mkiniambaia leo labda ameshaanza hata kuwasahau wanae basi ninaweza nikaamini kuwa aliposahau pale!
Mzee wa tabasamu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umri umeenda jomba mm babu yangu Ana 90 nimerudi kumsalimia kanisahau hapo mwaka mmoja tu hatujaonana mpaka nimemkumbusha
 
Mwinyi anapenda utani! Kuna siku alidai ameanza kukisahau kiswahili ila kapiga kizungu mbele ya mwendazake kitu ambacho mimi niliona kama anatuma jumbe kuwa mwendazake hajui kizungu na kiswahili pia.
Pia wazee wanatumia kusahai kama kinga ya jambo furani unaweza kuta anajua anachofanya ila kusahau kwao kawaida na inatokea
 
Alikuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10. Hivi ni kweli alikuwa amesahau Chato au ulikuwa ni usanii tu ili kupaondolea hadhi pale? Mkiniambaia leo labda ameshaanza hata kuwasahau wanae basi ninaweza nikaamini kuwa aliposahau pale!
Alianza kwa kusema siku hizi ni mzee sana,kuna wakati hata jina la Mwanae (Hissein) huwa analisahau.

Kwa age yake ya 95+ kawaida sana vitu kama hivyo.Kwa maelezo zaidi waulizee watu wa Psychology watakupa ufafanuzi
 
Alikuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10. Hivi ni kweli alikuwa amesahau Chato au ulikuwa ni usanii tu ili kupaondolea hadhi pale? Mkiniambaia leo labda ameshaanza hata kuwasahau wanae basi ninaweza nikaamini kuwa aliposahau pale!
Kwanini hata msituwekee video yake sisi wa uchindile huku tumuone huyo mzee mwinyi
 
Mimi Babu yangu alikuwa na Miaka 88 yani alikuwa hajui hata watoto zake.. mama yangu alikuwa akienda Bibi anamwambia mwanao amekuja amekuletea zawadi anamuuliza jina lake. Anaanza kulia balaa!! Alafu sijui why hili tatizo linakuta sana wanaume!![emoji23][emoji23]

Huwezi kuamini mpaka utakapofika huo umri yani

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Ngojea wewe ufike age ya 95yrs tuone kama utakua hata unakumbuka jinsia yako?

Unachukulia 95yrs ni namba eeh? age is just a number ila kuanzia 90yrs Age is more than a number dear...
Kamuzu Banda wa Malawi aliuliza mahakama "have I ever been a president in my life"?
Alikuwa na more than 95yrs.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kaka mzee mwinyi yupo kwnye age ambayo wazee huwa wanajikojolea wakiwa wamekaa tu kwnye kiti...unashangaa kusahau chato?
 
Ngojea wewe ufike age ya 95yrs tuone kama utakua hata unakumbuka jinsia yako?

Unachukulia 95yrs ni namba eeh? age is just a number ila kuanzia 90yrs Age is more than a number dear...
Ahahaaaa...! Atasahau jinsia yake?
 
Back
Top Bottom