Siamini kama ni kweli Alhaji Mzee Mwinyi alisahau pale panaitwa Chato

Perhaps he was a comedic genius,na akatumia hio ku-lighten mood ya msibani..
 
Alikuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10. Hivi ni kweli alikuwa amesahau Chato au ulikuwa ni usanii tu ili kupaondolea hadhi pale? Mkiniambaia leo labda ameshaanza hata kuwasahau wanae basi ninaweza nikaamini kuwa aliposahau pale!
mleta maada kuna kitu unata ila umeshindwa kukiwasilisha moja kwa moja
 
Alikuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10. Hivi ni kweli alikuwa amesahau Chato au ulikuwa ni usanii tu ili kupaondolea hadhi pale? Mkiniambaia leo labda ameshaanza hata kuwasahau wanae basi ninaweza nikaamini kuwa aliposahau pale!
Chato ni maarufu siku hizi au tuseme awamu ya tano. Unajua kuna baadhi ya sehemu marais hawafiki kabisa? Ukizingatia enzi zao hata barabara zilikuwa mgogoro.
 
Aseeeee!
 
Nmpenda sana huyu mzee ila Hotuba yake ilienga kuchekesha zaidi, kulikuwa na kausanii ndani, baba mkwe wangu ana miaka 97,hasahau kitu chochote. Hao Wazee ni wajanja wanakumbuka wanavyovitaka.
 
Muda mrefu sana aliwahi kuhojiwa akasema anapoteza kumbukumbu. Ni mzee jamani
 
Sijui kama mliliona hili mzee yupo vizuli sna jambo nimeliona kwake la msingi sn ni kusoma bila kuvaaa mawani hili lankusahau bado yupo vizuli maana bado anakumbuka kuwa apa nimeshau age yetu sisi sasa hvi 60age hilo jambo la kusahau ni kawaida ss hiyo 95 acha kabisa kizazi cha mzee mwinyi kinapatikana japan kule Asia ndio utaona watu wa namba hizo kwa miaka hii 2021
 
Mwinyi alizaliwa may 8 1923 sema kuna makosa yakifanyika katika kurecord..
Upo sahihi sana
IMG_20210331_163118.jpeg
 
Ila mke anamkumbuka 🤣🤣🤣🤣🤣 hapa ndio unapojua nguvu ya mbususur
Sasa mke utamsahau vip watuwazaman hawataki hata mavitanda yenu haya eti sita kwa nane ukishituka mpaka umtafute
 
Alikuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10. Hivi ni kweli alikuwa amesahau Chato au ulikuwa ni usanii tu ili kupaondolea hadhi pale? Mkiniambaia leo labda ameshaanza hata kuwasahau wanae basi ninaweza nikaamini kuwa aliposahau pale!
Mzee alijitahidi sana
 
Fikiria miaka 65 ijayo utakuwa unakumbuka nini
 
Back
Top Bottom