Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Kwa akili za mleta huu uzi akifika miaka 70 anaweza asijue hata jina lake mwenyewe,.Ngojea wewe ufike age ya 95yrs tuone kama utakua hata unakumbuka jinsia yako?
Unachukulia 95yrs ni namba eeh? age is just a number ila kuanzia 90yrs Age is more than a number dear...
Itakuwa alikuwa na nidhamu sana kwenye papuchi,.Mzee yule ujanani sijui alikuwa anakula nini miaka 96 bila hata kuvaa miwani
Huamini?Alikuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10. Hivi ni kweli alikuwa amesahau Chato au ulikuwa ni usanii tu ili kupaondolea hadhi pale? Mkiniambaia leo labda ameshaanza hata kuwasahau wanae basi ninaweza nikaamini kuwa aliposahau pale!
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwinyi anapenda utani! Kuna siku alidai ameanza kukisahau kiswahili ila kapiga kizungu mbele ya mwendazake kitu ambacho mimi niliona kama anatuma jumbe kuwa mwendazake hajui kizungu na kiswahili pia.
Ngojea wewe ufike age ya 95yrs tuone kama utakua hata unakumbuka jinsia yako?
Unachukulia 95yrs ni namba eeh? age is just a number ila kuanzia 90yrs Age is more than a number dear...
Mzee wa tabasamu[emoji16][emoji16][emoji16]Alikuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10. Hivi ni kweli alikuwa amesahau Chato au ulikuwa ni usanii tu ili kupaondolea hadhi pale? Mkiniambaia leo labda ameshaanza hata kuwasahau wanae basi ninaweza nikaamini kuwa aliposahau pale!
Hilo ni kawaida sana kuanzia 90 miaka sio mchezo kama maisha yalikuwa magumu ndio balaaa kabisaBabu wa watu amekula chumvi sn, kweli inawezekana ameanza kusahau kabisa.
Pia wazee wanatumia kusahai kama kinga ya jambo furani unaweza kuta anajua anachofanya ila kusahau kwao kawaida na inatokeaMwinyi anapenda utani! Kuna siku alidai ameanza kukisahau kiswahili ila kapiga kizungu mbele ya mwendazake kitu ambacho mimi niliona kama anatuma jumbe kuwa mwendazake hajui kizungu na kiswahili pia.
Alisema ndioHivi ni kweli alisema hivyo bwana Shee?
Alianza kwa kusema siku hizi ni mzee sana,kuna wakati hata jina la Mwanae (Hissein) huwa analisahau.Alikuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10. Hivi ni kweli alikuwa amesahau Chato au ulikuwa ni usanii tu ili kupaondolea hadhi pale? Mkiniambaia leo labda ameshaanza hata kuwasahau wanae basi ninaweza nikaamini kuwa aliposahau pale!
Kwanini hata msituwekee video yake sisi wa uchindile huku tumuone huyo mzee mwinyiAlikuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10. Hivi ni kweli alikuwa amesahau Chato au ulikuwa ni usanii tu ili kupaondolea hadhi pale? Mkiniambaia leo labda ameshaanza hata kuwasahau wanae basi ninaweza nikaamini kuwa aliposahau pale!
Kamuzu Banda wa Malawi aliuliza mahakama "have I ever been a president in my life"?Ngojea wewe ufike age ya 95yrs tuone kama utakua hata unakumbuka jinsia yako?
Unachukulia 95yrs ni namba eeh? age is just a number ila kuanzia 90yrs Age is more than a number dear...
Ahahaaaa...! Atasahau jinsia yake?Ngojea wewe ufike age ya 95yrs tuone kama utakua hata unakumbuka jinsia yako?
Unachukulia 95yrs ni namba eeh? age is just a number ila kuanzia 90yrs Age is more than a number dear...