Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
CCMPolepole hana mwisho mzuri,, laana ya watu waliopotea itamtafuna yeye na kizazi chake hadi cha saba[emoji86][emoji86],hawataajirika popote, watakuwa watu wenye nux chungu nzima,,
RIP Lwajabe
Inabidi tuite FBI forensic team ili kufanya uchunguzi wa kina kuhusu hiliManeno mazito haya [emoji116]
Mauaji na Unyanganyi wa Awamu ya 5
Unajua fika We ulikuwa miongoni mwa watu wanaotuma vijana na kuwadharay askari kwamba hawa wanatii maamui ya Chama Uki moderate utekaji Kwenye Ofis zenu UVCCM floor ya 5 office no 11 private detention room ambayo mkitaka kuwadhuru watu mmawaambia polis kuondoa watu wao! Polepole una uhalali gani wa Kusema unapigania watu!
Acha personal attack, ana hoja mezani mpinge kwa hoja. Huu ujinga wako wa kukwepa hoja usilete hapa!!Wewe hujawahi ipenda CCM kwenye jamvi hili tunawajua wachumia tumbo na Wahuni
Atakaa kimya tu huyo mwenda pole,KWANI YUKO WAPI MCH GWAJIMA Saivi kimya Kama hayupo Ni suala la muda tuWanajamvi mnanielewa vema kwenye masuala ya msingi siyumbagi na kuangalia Kama ama Nina rafiki ataonaje msimamo wangu!
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba ulieleza kwamba ziende kuongezwa speed y’a engine Kumbe ulilipwa 150,000 Kwa maudhui hayo kutudanganya ili apite!
Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya, unajua pesa wamepewa Kina Mashinji na Nassary na wapinzani kuhama!
We umekuwa na dharau kubwa Kwa Mama Samia tokea akiwa Makamu! Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama ila Umehujumu kila Njia y’a SAMIA akiwa Makamu!!! Kampeni na wasanii ulidiriki kutamka mbele ya Steven Nyerere kwamba msihangaike na Huyo bibi ambaye kauli zake zinaishia Koridoni wakati kwenye ofisi yupo Muhusika, hata Kipindi Magufuli amekufa kundi lenu lilikuwa nyuma ya Mpango wa kutoruhusu Mama awe Rais, SIRRO na Mabeyo wanajua (Dokezo) likatoka.
Mauaji na Unyanganyi wa Awamu ya 5
Unajua fika We ulikuwa miongoni mwa watu wanaotuma vijana na kuwadharay askari kwamba hawa wanatii maamui ya Chama Uki moderate utekaji Kwenye Ofis zenu UVCCM floor ya 5 office no 11 private detention room ambayo mkitaka kuwadhuru watu mmawaambia polis kuondoa watu wao! Polepole una uhalali gani wa Kusema unapigania watu!
Unakumbuka Mpango wako mkiipeleka Meli Mv Victoria Kagera Mwaka jana wakati wa Kampeni ukiwa na akina Petro Magoti, acheni kuhadaa watanzania!
Polepole Huna kabisa Legitimacy ya kutudanganya
Mmeteka mmeua mmeshambulia,
Wangapi umekuwa unakula pesa yao Kwa ahadi ya Kuwahamisha vituo vya kazi kutoka Mara? Na kuwaahidi Vyeo!?
Tumkosoe Rais ila si kumkwamisha.
Tunatakiwa Kuelewa kwamba Nchi ni yetu sote
leta ushahidi, pesa hizi zilichukuliwa na nani, zilipelekwa na nini huko zimehifadhiwa wapi na kwa jina la nani...kama benk sema benk gani, akaunti namba, na nini mmiliki wa akaunti hiyo!!! Vinginevyo hii yaweza kuwa kupakana matope kwa ajili ya maslahi binafsi.Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya,
Mzee umechamba tu hujajazia nyama, ungeyamwaga hayo hapaWanajamvi mnanielewa vema kwenye masuala ya msingi siyumbagi na kuangalia Kama ama Nina rafiki ataonaje msimamo wangu!
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba ulieleza kwamba ziende kuongezwa speed y’a engine Kumbe ulilipwa 150,000 Kwa maudhui hayo kutudanganya ili apite!
Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya, unajua pesa wamepewa Kina Mashinji na Nassary na wapinzani kuhama!
We umekuwa na dharau kubwa Kwa Mama Samia tokea akiwa Makamu! Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama ila Umehujumu kila Njia y’a SAMIA akiwa Makamu!!! Kampeni na wasanii ulidiriki kutamka mbele ya Steven Nyerere kwamba msihangaike na Huyo bibi ambaye kauli zake zinaishia Koridoni wakati kwenye ofisi yupo Muhusika, hata Kipindi Magufuli amekufa kundi lenu lilikuwa nyuma ya Mpango wa kutoruhusu Mama awe Rais, SIRRO na Mabeyo wanajua (Dokezo) likatoka.
Mauaji na Unyanganyi wa Awamu ya 5
Unajua fika We ulikuwa miongoni mwa watu wanaotuma vijana na kuwadharay askari kwamba hawa wanatii maamui ya Chama Uki moderate utekaji Kwenye Ofis zenu UVCCM floor ya 5 office no 11 private detention room ambayo mkitaka kuwadhuru watu mmawaambia polis kuondoa watu wao! Polepole una uhalali gani wa Kusema unapigania watu!
Unakumbuka Mpango wako mkiipeleka Meli Mv Victoria Kagera Mwaka jana wakati wa Kampeni ukiwa na akina Petro Magoti, acheni kuhadaa watanzania!
Polepole Huna kabisa Legitimacy ya kutudanganya
Mmeteka mmeua mmeshambulia,
Wangapi umekuwa unakula pesa yao Kwa ahadi ya Kuwahamisha vituo vya kazi kutoka Mara? Na kuwaahidi Vyeo!?
Tumkosoe Rais ila si kumkwamisha.
Tunatakiwa Kuelewa kwamba Nchi ni yetu sote
Kuna wadau humu wana msemo wao "Mungu fundi"Alifikiri mungu wao ataishia milele na wakaanza mchakato kutaka huyo mungu wao atawale milele lakini kwa bahati Mungu wa kweli kafanya yake.
Sasa kapagawa amekuwa akiropoka kama mchawi aliyelishwa usembe.
Aiseeee yaani kalikosa adabu kabisa, no wonder Nape kampachika jina jipya la KIROBOTO.Huyu jamaa nilimchukiaga kipindi kile cha uchaguzi alikua anamuita marehemu maalim Sharif et BABU MANDEVU
Hivi kwanini ulikuwa unamwabudu bwana Magufuli?Wewe hujawahi ipenda CCM kwenye jamvi hili tunawajua wachumia tumbo na Wahuni
Wanajamvi mnanielewa vema kwenye masuala ya msingi siyumbagi na kuangalia Kama ama Nina rafiki ataonaje msimamo wangu!
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba ulieleza kwamba ziende kuongezwa speed y’a engine Kumbe ulilipwa 150,000 Kwa maudhui hayo kutudanganya ili apite!
Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya, unajua pesa wamepewa Kina Mashinji na Nassary na wapinzani kuhama!
We umekuwa na dharau kubwa Kwa Mama Samia tokea akiwa Makamu! Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama ila Umehujumu kila Njia y’a SAMIA akiwa Makamu!!! Kampeni na wasanii ulidiriki kutamka mbele ya Steven Nyerere kwamba msihangaike na Huyo bibi ambaye kauli zake zinaishia Koridoni wakati kwenye ofisi yupo Muhusika, hata Kipindi Magufuli amekufa kundi lenu lilikuwa nyuma ya Mpango wa kutoruhusu Mama awe Rais, SIRRO na Mabeyo wanajua (Dokezo) likatoka.
Mauaji na Unyanganyi wa Awamu ya 5
Unajua fika We ulikuwa miongoni mwa watu wanaotuma vijana na kuwadharay askari kwamba hawa wanatii maamui ya Chama Uki moderate utekaji Kwenye Ofis zenu UVCCM floor ya 5 office no 11 private detention room ambayo mkitaka kuwadhuru watu mmawaambia polis kuondoa watu wao! Polepole una uhalali gani wa Kusema unapigania watu!
Unakumbuka Mpango wako mkiipeleka Meli Mv Victoria Kagera Mwaka jana wakati wa Kampeni ukiwa na akina Petro Magoti, acheni kuhadaa watanzania!
Polepole Huna kabisa Legitimacy ya kutudanganya
Mmeteka mmeua mmeshambulia,
Wangapi umekuwa unakula pesa yao Kwa ahadi ya Kuwahamisha vituo vya kazi kutoka Mara? Na kuwaahidi Vyeo!?
Tumkosoe Rais ila si kumkwamisha.
Tunatakiwa Kuelewa kwamba Nchi ni yetu sote
[/QUOTE
Nachojua wahuni mpo sana Ccm nakumbuka mwanzoni ulikuwapo CCm mwishoni sijui ulitenguliwa au vipi ukaanza kugeuka ukimshambulia magufuli sasa leo upo kwa mama nadhani nyie ndo akina kigogo au baadhi ya wahuni mliokuwa mnataka kutafuna mema ya hii nchi peke yenu.
Kama unaona haki ulinyomkosoa magufuli basi sas pia muache polepole anayewastua watawala na baadhi ya watu nje ya utawala wasiwaze kuifanya tanzania ni yao peke yao.
mzee baba kumbe upo, nakusalimia kwa jina la jamuhuriWewe hujawahi ipenda CCM kwenye jamvi hili tunawajua wachumia tumbo na Wahuni
Watasema mengi tu, damu za watu wasio na hatia hazitawaacha salama.Maneno mazito haya [emoji116]
Mauaji na Unyanganyi wa Awamu ya 5
Unajua fika We ulikuwa miongoni mwa watu wanaotuma vijana na kuwadharay askari kwamba hawa wanatii maamui ya Chama Uki moderate utekaji Kwenye Ofis zenu UVCCM floor ya 5 office no 11 private detention room ambayo mkitaka kuwadhuru watu mmawaambia polis kuondoa watu wao! Polepole una uhalali gani wa Kusema unapigania watu!
DictionaryMkuu tafadhali pitia tena bandiko kisha ufanye “editing” ili tuwe msitari mmoja moja kwa moja.
Mfano kwenye “malipo yake Pole pole kwa maudhui ya kutudanganya kwenye ufisadi wa 710M TZS”, umesema yalikuwa ni 150,000/= labda ulitaka kuandika 150,000,000/=?
Trillion 1.5 iliyopelekwa “Seychellois” ulitaka kusema Seychelles?
Polepole anapelekewa Moto kila sehemu na haya ndo mavuno ya matendo yake kipindi Cha Kayafa
Wanajamvi mnanielewa vema kwenye masuala ya msingi siyumbagi na kuangalia Kama ama Nina rafiki ataonaje msimamo wangu!
Sema tu umelipwa TZS 7,000.00 ambayo imefanya ubongo wako ukashindwa kutumia akili.Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama
Huyu naye ni walewale wahuni ambao Watanzania wengi tumeamua kuwakataa.Wewe hujawahi ipenda CCM kwenye jamvi hili tunawajua wachumia tumbo na Wahuni
Sidhani wewe jamaa km kichwani uko sawa.Wewe hujawahi ipenda CCM kwenye jamvi hili tunawajua wachumia tumbo na Wahuni