Siamini katika Siasa za unafiki, Polepole unakosea sana we pamoja na kikundi nyuma yako! Tunajua yote haya

Nashauri umuelewe hivyohivyo maana ana uchungu Sana na huyo mnafiki aliyepataga division zero
 
Sura ya polepole tu imekaa kichawichawi na kilozi so sishangai kakiwa kauaji na kanafiki
 
Hivi kuna mwanaccm asiye mnafiki, tangia uhuru nchi hii imeongozwa na ccm lakini wasikie wanavyoshutumu serikali zilizopita pale inapokuja serikali mpya
 
Nilimshangaa sana Rais Samia Suluhu Hassan kumpa Polepole Ubunge wa kuteuliwa.

Kusema na ule ukweli Polepole hakutakiwa kukaa Bungeni alitakiwa awe Jela akitumikia miaka 30 kama wale Wahuni wenzie.

Takukuru inatakiwa imchunguze huyu kigagula.
 
Soma sentence! Haikuwa kwenye muktadha huo.

Kwani ametumia codes hadi u assume hivyo?
 
Sikujua kama naye amehusika kwenye mauaji , Asante JF
 
Okay, tunafurahi kukufahamu wengine wetu ndo kwanza tunakusoma leo kwa mara ya kwanza, kwa hiyo wewe ndo kipimo cha JF na kwamba sasa mjadala ufungwe kwa kuwa umeshaongea ?
Sawa
 
We britanicca ulikuwa mfuasi wa Magufuli mpaka pale ulipopoteza matumaini kuwa huwezi kupata uteuzi ndio ukaanza kuwa mkosoaji wake.
 
T
Nilimshangaa sana Rais Samia Suluhu Hassan kumpa Polepole Ubunge wa kuteuliwa.

Kusema na ule ukweli Polepole hakutakiwa kukaa Bungeni alitakiwa awe Jela akitumikia miaka 30 kama wale Wahuni wenzie.

Takukuru inatakiwa imchunguze huyu kigagula.
Tukisema nyie ni mazezeta mnalaumu eti mnatukanwa,
Sasa hujui hata ni nani alimpa ubunge polepole wakati utakuata upo hapahapa tanzania.
Nadhani kuna wengi mnaotumia akilia za tako kulikoa za kichwa.
Yaani hujui aliyempa ubunge polepole?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…