Kijakazi Chizi
Member
- Dec 9, 2025
- 89
- 213
huyu ni married but single 😂Mbn msela namfahamu ila staj jina ana miaka 42 ana mke hana mtoto yupo single sasa huyu utasemaje bora huya wa 30+
imebidi nitaje nanjilinji.........Kwani unatokea kijiji gani mkuu...🤔
Unless umekujajini recently or huna circle kubwa ya hao watu. Until then you will get suprisedWakuu habari,
Nimekuwa nikijadili hili jambo na rafiki yangu mmoja hadi akaniita 'Toxic' kwamba sifai
Wakati nipo kwenye umri wa 20+ ilikuwa nikitongozwa na mwanaume wa umri wa 30+ na ameshafanikiwa yaani ka-settle tayari ana kila kitu kinachoitajika kwenye maisha ikiwa ni nyumba, gari, biashara na ana kazi ya kueleweka, kiufupi kwangu niliichukua kama red-flag
Sikuweza kuamini kama mtu ambaye tayari ana maisha anifate mimi ambaye sina mwelekeo wowote wa maisha ndo kwanza nimemaliza shule nafanya kazi za muda as 'Part-time' na kipato ninachopata kinatosha chakula, nauli na kujipatia mavazi. Yaani kwa status na financially sisi ni watu wawili tofauti
Sababu kubwa sijawai kutaka kuwa kama back-up plan ya mahusiano ya mtu na huu ndio umekua msimamo waku, lakini rafiki yangu aliniuliza
"Unadhani utapata mwanaume wa kwako peke yako?, Kwaiyo unataka mwanaume masikini? au hao masikii ndo wako loyal?
"Kuna watu wako kwenye mahusiano yasiyo sahihi kwao hivyo anapokufata ameona kitu kwako, na wewe unatakiwa ku-respond positive la sivyo unataka kuwa single milele"-Alisema rafiki yangu
Tulizungumza kwa muda mrefu lakini bado sijapata kuamini kama wanaume wa hali hiyo wanaweza kuwa peke yao na loyal kwenye mahusiano
Jambo lingine huwa nahisi kwa age-difference iliyopo kati yetu kuna wakati naweza hisi ananionea au yeye akahisi namdharau kumbe ni jambo tu la kawaida au hata anaweza kuwa anapima uwezo wa fikra zangu
Nimewahi kujaribu kudate mwanaume wa hivyo ila nilikimbia 😂, jamaa alikuwa ananiambia ukitaka chochote nambie muda huo mimi nasubiri aone hali yangu kuwa nahitaji kitu fulani then aniletee hata kama suprise bila kumwambia nikiogopa kuonekana ombaomba ila hakuwai kufanya hivyo. Alipenda sana kutaka niende kwake kitu ambacho pia nilichukulia kama red-flag ya kufanya hayo kisha nakuwa dampo.
Kingine kilichofanya nikimbie, alikuwa anaweza kukaa wiki nzima hajapiga simu na akipiga anataka uende kwake, ukimwambia mkutane sehemu anasingiza hataki kuonekana na wafanyakazi wenzie akiwa na demu, hii ilinifanya niamini sipo peke yangu nikaanza kuweka distance na yeye hakujali hata ukimya ukazidi ndo ikaishia hivyo hakuna aliyewahi kumtafuta mwenzie
Natamani tu kujua kama mawazo yangu hayana afya au ndo niko Toxic kama rafiki yangu alivyonambia
Kwahiyo wakienda uko ina ubaya Gani ?Wapo wengi sana Amin ivo wanaume wamekua waoga sana kwenye mahusiano ndo maana kule kwenye madanguro wamekua wateja wazur sana
Una haki ya ku generalize, lakini, ume generalize.Wakuu habari,
Nimekuwa nikijadili hili jambo na rafiki yangu mmoja hadi akaniita 'Toxic' kwamba sifai
Wakati nipo kwenye umri wa 20+ ilikuwa nikitongozwa na mwanaume wa umri wa 30+ na ameshafanikiwa yaani ka-settle tayari ana kila kitu kinachoitajika kwenye maisha ikiwa ni nyumba, gari, biashara na ana kazi ya kueleweka, kiufupi kwangu niliichukua kama red-flag
Sikuweza kuamini kama mtu ambaye tayari ana maisha anifate mimi ambaye sina mwelekeo wowote wa maisha ndo kwanza nimemaliza shule nafanya kazi za muda as 'Part-time' na kipato ninachopata kinatosha chakula, nauli na kujipatia mavazi. Yaani kwa status na financially sisi ni watu wawili tofauti
Sababu kubwa sijawai kutaka kuwa kama back-up plan ya mahusiano ya mtu na huu ndio umekua msimamo waku, lakini rafiki yangu aliniuliza
"Unadhani utapata mwanaume wa kwako peke yako?, Kwaiyo unataka mwanaume masikini? au hao masikii ndo wako loyal?
"Kuna watu wako kwenye mahusiano yasiyo sahihi kwao hivyo anapokufata ameona kitu kwako, na wewe unatakiwa ku-respond positive la sivyo unataka kuwa single milele"-Alisema rafiki yangu
Tulizungumza kwa muda mrefu lakini bado sijapata kuamini kama wanaume wa hali hiyo wanaweza kuwa peke yao na loyal kwenye mahusiano
Jambo lingine huwa nahisi kwa age-difference iliyopo kati yetu kuna wakati naweza hisi ananionea au yeye akahisi namdharau kumbe ni jambo tu la kawaida au hata anaweza kuwa anapima uwezo wa fikra zangu
Nimewahi kujaribu kudate mwanaume wa hivyo ila nilikimbia 😂, jamaa alikuwa ananiambia ukitaka chochote nambie muda huo mimi nasubiri aone hali yangu kuwa nahitaji kitu fulani then aniletee hata kama suprise bila kumwambia nikiogopa kuonekana ombaomba ila hakuwai kufanya hivyo. Alipenda sana kutaka niende kwake kitu ambacho pia nilichukulia kama red-flag ya kufanya hayo kisha nakuwa dampo.
Kingine kilichofanya nikimbie, alikuwa anaweza kukaa wiki nzima hajapiga simu na akipiga anataka uende kwake, ukimwambia mkutane sehemu anasingiza hataki kuonekana na wafanyakazi wenzie akiwa na demu, hii ilinifanya niamini sipo peke yangu nikaanza kuweka distance na yeye hakujali hata ukimya ukazidi ndo ikaishia hivyo hakuna aliyewahi kumtafuta mwenzie
Natamani tu kujua kama mawazo yangu hayana afya au ndo niko Toxic kama rafiki yangu alivyonambia
KudadekWakati nipo kwenye umri wa 20+ ilikuwa nikitongozwa na mwanaume wa umri wa 30+ na ameshafanikiwa
Matatizo ya kutongozwa sana inafika hatua huamini kila anaekutongozaUna haki ya ku generalize, lakini, ume generalize.
Bei nafuu elewa bei nafuu halafu kipapilo ni kile kile issue sio uoga issue bei nafuu unakua ushamaliza nyege na ukishamaliza hapo huna muda wa kupandisha Cortisol till next time call for delivery package ambazo kuna mchumba angekuzungusha mwezi mpaka miezi huku anachokonoa wallet na mwisho wa siku akakuletea vagi na chupi hata hujamvua hela kala unafanyaje safari uelekeo kwenda kujipoza maeneoWapo wengi sana Amin ivo wanaume wamekua waoga sana kwenye mahusiano ndo maana kule kwenye madanguro wamekua wateja wazur sana
Wapo wengi sana Amin ivo wanaume wamekua waoga sana kwenye mahusiano ndo maana kule kwenye madanguro wamekua wateja wazur sana
lakini ndo ukweli hii ni redflagUna haki ya ku generalize, lakini, ume generalize.
Wewe unahisi una mkomoa au unajikomoa mwenyewe? Ukipata jibu hapo utaelewa kwanini nimekuuliza hilo swali, it all about Cortisol nothing elseNatamani tu kujua kama mawazo yangu hayana afya au ndo niko Toxic kama rafiki yangu alivyonambia
Tofaut na hiyo ila wanaume hawapend sana majibizano na kerokero za hapa na paleBei nafuu elewa bei nafuu halafu kipapilo ni kile kile issue sio uoga issue bei nafuu unakua ushamaliza nyege na ukishamaliza hapo huna muda wa kupandisha Cortisol till next time call for delivery package ambazo kuna mchumba angekuzungusha mwezi mpaka miezi huku anachokonoa wallet na mwisho wa siku akakuletea vagi na chupi hata hujamvua hela kala unafanyaje safari uelekeo kwenda kujipoza maeneo