Kwani sasa hivi unao umri gani? 🤔
sabb hiyo 20s umei-refer in the past tense.
Je wewe haujawahi kuwa na mahusiano na mtu zaidi ya mmoja at the same time?
Sabb isije kuwa unataka cha pekee ako, wakati ww unawapanga wenzio
Je ww ni loyal? Isijekuwa unatafuta sifa ambazo ww mwenyewe hauna
lengo lako la mahusiano ni nini? Je ni kama ajira?
So, simu ni mpaka apige yeye tu, wewe huwezi kumpigia?
Hayana formula haya, wewe tambua tu unataka nini, kisha nenda na beat, unapoweza kuset tempo ya beat (basi iset), utaposhindwa kuset, basi rejea ni nini unataka in a relationship, halafu tembea na beat.
Hakuna mtu perfect, chagua mtu anayefit kwa vision yako, kihisia unaona mnaelewana, na ambaye wote wawili mnaweza kuvumiliana changamoto (mapungufu) zenu.
Sabb ni ngumu watu kufit 100% katika kila kitu.
apo nilikuwa early 20s lakini saivi niko late 30sKwani sasa hivi unao umri gani? 🤔
sabb hiyo 20s umei-refer in the past tense.
Je wewe haujawahi kuwa na mahusiano na mtu zaidi ya mmoja at the same time?
Sabb isije kuwa unataka cha pekee ako, wakati ww unawapanga wenzio
Je ww ni loyal? Isijekuwa unatafuta sifa ambazo ww mwenyewe hauna
lengo lako la mahusiano ni nini? Je ni kama ajira?
So, simu ni mpaka apige yeye tu, wewe huwezi kumpigia?
Hayana formula haya, wewe tambua tu unataka nini, kisha nenda na beat, unapoweza kuset tempo ya beat (basi iset), utaposhindwa kuset, basi rejea ni nini unataka in a relationship, halafu tembea na beat.
Hakuna mtu perfect, chagua mtu anayefit kwa vision yako, kihisia unaona mnaelewana, na ambaye wote wawili mnaweza kuvumiliana changamoto (mapungufu) zenu.
Sabb ni ngumu watu kufit 100% katika kila kitu.
si kila mtu anatamani wenda ni kwasababu ya mapito yao yaliyowajengea uoga wa kutojariu tena au traumaHivi unadhani ni vijana wote wanataka kuingia kwenye matatizo? Umegeneralize mno mkuu.
mmhh🙄Kuna njemba ina 45 haina mtoto wala mchumba wa kueleweka.
Wapo bwana, bado wanajitafuta na kukua kumegoma.
😅😅😅 Ndio!
Maamuzi ya kuoa au kuolewa yanatakiwa uyafanye kabla kuna vitu haujavielewa kuhusu binadamu.
Kwamba hakuna uwezekano wa mwanaume kupata huduma ya sex bila kufunga ndoa?Ndoa n utapel.Naona ikifika 2050 masela wengi watakuwa wapg nyet
Huu ujinga sitokaa nikaurudia!Wapo vijana wengi Tu miaka hiyo uliyotaja wapo single kabisa na kiuchumi wako vizuri (kibongo bongo), siku hizi Ninachoona vijana hawataki au wanaogopa kuingia kwenye serious relationship, yaani wanachovya Tu wanakimbia, sijui ni kwanini wanakimbia?.
Kipindi kile ukifika miaka 20's tayari Una familia ya mke na watoto wawili hata watatu na sio kwamba maisha yalikuwa mazuri Sana ni basi Tu...Mimi Nafikiri kama binti amepata mwanaume let say Yuko kwenye 20's na anajitambua na kutunza heshima Yake, licha ya kwamba bado mambo Yake ya kiuchumi hayajakaa sawa Kwa maana sijui ya kuwa na nyumba,magari nk nashauri ni Bora ukomae naye muanze chini, mtakuwa na familia Bora Tu hapo baadae...
Of course kama haukuwa au hukupata mtu sahihi lazima mambo yavurugike... Mahusiano bila kupata mtu sahihi baadae mtaishi kama wahaini chumba kimoja.Huu ujinga sitokaa nikaurudia!
Kaa ukijua siku hizi ngono ni rahisi sana,halafu hamna ambaye yupo single kwa asilimia zote mia,watu wapo single ila wanapiga ndondo viwanja tofauti tofauti kama kawa,huku wakitafuta timu ya kudumu.Wakuu habari,
Nimekuwa nikijadili hili jambo na rafiki yangu mmoja hadi akaniita 'Toxic' kwamba sifai
Wakati nipo kwenye umri wa 20+ ilikuwa nikitongozwa na mwanaume wa umri wa 30+ na ameshafanikiwa yaani ka-settle tayari ana kila kitu kinachoitajika kwenye maisha ikiwa ni nyumba, gari, biashara na ana kazi ya kueleweka, kiufupi kwangu niliichukua kama red-flag
Sikuweza kuamini kama mtu ambaye tayari ana maisha anifate mimi ambaye sina mwelekeo wowote wa maisha ndo kwanza nimemaliza shule nafanya kazi za muda as 'Part-time' na kipato ninachopata kinatosha chakula, nauli na kujipatia mavazi. Yaani kwa status na financially sisi ni watu wawili tofauti
Sababu kubwa sijawai kutaka kuwa kama back-up plan ya mahusiano ya mtu na huu ndio umekua msimamo waku, lakini rafiki yangu aliniuliza
"Unadhani utapata mwanaume wa kwako peke yako?, Kwaiyo unataka mwanaume masikini? au hao masikii ndo wako loyal?
"Kuna watu wako kwenye mahusiano yasiyo sahihi kwao hivyo anapokufata ameona kitu kwako, na wewe unatakiwa ku-respond positive la sivyo unataka kuwa single milele"-Alisema rafiki yangu
Tulizungumza kwa muda mrefu lakini bado sijapata kuamini kama wanaume wa hali hiyo wanaweza kuwa peke yao na loyal kwenye mahusiano
Jambo lingine huwa nahisi kwa age-difference iliyopo kati yetu kuna wakati naweza hisi ananionea au yeye akahisi namdharau kumbe ni jambo tu la kawaida au hata anaweza kuwa anapima uwezo wa fikra zangu
Nimewahi kujaribu kudate mwanaume wa hivyo ila nilikimbia 😂, jamaa alikuwa ananiambia ukitaka chochote nambie muda huo mimi nasubiri aone hali yangu kuwa nahitaji kitu fulani then aniletee hata kama suprise bila kumwambia nikiogopa kuonekana ombaomba ila hakuwai kufanya hivyo. Alipenda sana kutaka niende kwake kitu ambacho pia nilichukulia kama red-flag ya kufanya hayo kisha nakuwa dampo.
Kingine kilichofanya nikimbie, alikuwa anaweza kukaa wiki nzima hajapiga simu na akipiga anataka uende kwake, ukimwambia mkutane sehemu anasingiza hataki kuonekana na wafanyakazi wenzie akiwa na demu, hii ilinifanya niamini sipo peke yangu nikaanza kuweka distance na yeye hakujali hata ukimya ukazidi ndo ikaishia hivyo hakuna aliyewahi kumtafuta mwenzie
Natamani tu kujua kama mawazo yangu hayana afya au ndo niko Toxic kama rafiki yangu alivyonambia
Wewe wewe utakuja kurogwa wewe Kuna dada Kila anpoenda nyuki zimemganda usoni, shida nyie ni wavivu, wanawake wenzenu wanajipinda kufanya kazi nyie mnataka kula jasho zao kirahisi tu kupitia wame zao, kazana unacho tafuta utakipata, UVIVU TU WAKUFANYA KAZI alafu eti na wewe unawazarau Malaya wa river side ilihali we mwenyewe mwizi wame za watuKuna rafiki yangu aliniambiaga Jane mdogo wangu maisha ya sasa ni kutafuta mwanaume unaeona anakufaa then unamuiba kwa mwanamke mzembe hivyo yani mwendo wakuiba tu
😂 😂 😂 😂 AyseeeWewe wewe utakuja kurogwa wewe Kuna dada Kila anpoenda nyuki zimemganda usoni, shida nyie ni wavivu, wanawake wenzenu wanajipinda kufanya kazi nyie mnataka kula jasho zao kirahisi tu kupitia wame zao, kazana unacho tafuta utakipata, UVIVU TU WAKUFANYA KAZI alafu eti na wewe unawazarau Malaya wa river side ilihali we mwenyewe mwizi wame za watu
Kama wachawi aisee!Of course kama haukuwa au hukupata mtu sahihi lazima mambo yavurugike... Mahusiano bila kupata mtu sahihi baadae mtaishi kama wahaini chumba kimoja.
Yupo mbona na bado uvulana wake haujatolewa. Naye si mwingine bali ni Mbaga Jr.secretarybird mwambie ukweli huyu 🙃