Siamini Mwanaume wa 30+ and succesful kama yupo single

Siamini Mwanaume wa 30+ and succesful kama yupo single

Jiamini ..lol..

Wanasemaga uishi muda uliopo; usifikirie past wala future ..just NOW..kwamba kama kuna Ex aliyekufanya ujihisi kuji validate mwenyewe ni mpaka ufanye kazi na uwe independent umsahau, na pia usifikirie future what will you bring on the table..ama uta invest nini kwenye hio relationship..just enjoy Now..is he attractive, is he ready to spend 😄 😊 dates, vacation baaaasi 😆 🤣...anyway I think wewe ni mtu mmoja independent na una principles zako..which is good..maana wanawake wengi wasingejiuliza mara mbili kuhusu hio opportunity 😄 😊
 
Wapo wengi sana Amin ivo wanaume wamekua waoga sana kwenye mahusiano ndo maana kule kwenye madanguro wamekua wateja wazur sana
Sasa sikuhizi karibu kila mdada ame commercialize mahusiano, kipaumbele cha almost kila mdada sahivi kwenye mahusiano ni hela, Sasa uchumi wa wanaume wengi hauruhusu, kuliko amlipie mdada kodi ya nyumba ya laki 2 na mazaga mengine, ni heri atoe elf 10 akanunue utamu Riverside nakwede97
 
Kwamba wadada wote wako expensive hivyo? Sio kweli
Na hivi vyumba vya 50k huku mtaani wanaishi kina nani jamani?!! Wadada wa kawaida na loyal wapo vijana wapunguze kuwa doubtful sana
 
Kuna njemba ina 45 haina mtoto wala mchumba wa kueleweka.

Wapo bwana, bado wanajitafuta na kukua kumegoma.
Kwani ni lazima kuwa na mtoto dunia hii?

Hujui kwamba kuna watu hawataki hata kusikia habari za watoto na ndoa?

Wanawapenda watoto wao, kiasi kwamba hawataki kabisa wazaliwe kwenye hii Dunia iliyojaa shida.
 
Hivi unadhani ni vijana wote wanataka kuingia kwenye matatizo? Umegeneralize mno mkuu.
Kuna watu wanafikiri kila mtu ana mawazo ya ndoa na kupata watoto kama wao.

Kumbe kuna watu hata habari za watoto hawataki kuzisikia.

Kuna watu wanawapenda sana watoto wao kiasi kwamba hawataki wazaliwe kwenye hii Dunia iliyojaa shida.
 
Back
Top Bottom