Theory yangu naisemaga humu jf huwa ni hivi, mara nyingi kwenye kuanzisha mahusiano, yule mtu unaemtaka hakutaki, usiemtaka ndo anakutaka, ukimpata unaemtaka basi ni pasua kichwa, hii ni moja ya sababu kubwa inayofanya jinsia zote mbili zishindwe kufanya maamuzi ya nani awe mwenza wa maisha mwishowe mtu anajikuta ana miaka 35 hana hata mke/mume wa kusingiziwa, au kwa mwanamke unakuta anaolewa tu sababu umri umeenda, muoaji ana hela, au aliemtaka haeleweki, mwanaume unakuta anaoa sababu ndo anaeweza kumpata, mwanamke ni wife material etc..ila Ile Raha ya mtu kujivunia kuwa na partner wake inakua haipo, watu wanabaki kuishi kwa mazoeaKwamba wadada wote wako expensive hivyo? Sio kweli
Na hivi vyumba vya 50k huku mtaani wanaishi kina nani jamani?!! Wadada wa kawaida na loyal wapo vijana wapunguze kuwa doubtful sana
Kwenye swala la kutafuta mke pia unajua huoi muonekano wake tu, unaoa tabia yake pia na jinsi mnavoendana (compatibility), Sasa wanawake wengi ukitoa uzuri wao ukauweka pembeni ukiona character yao ilivyo mbovu jinsi wanavotreat watu vibaya, na jinsi ambavyo wanatreat uhusiano kana kwamba wamejiegesha tu..ukiamua kuwaoa ni wewe tu mwanaume ujitoe tu ufahamu Hulda-Tamarri