Kijakazi Chizi
Member
- Dec 9, 2025
- 89
- 213
- Thread starter
-
- #21
Nimekuwa nikihisi ni njia ya kujilinda dhidi ya ndoa za watu na mahusiano ya watuUnakosea sana kukataa pia huku tunako kwenda mabachelor watakuwa wengi sana kati miaka 35 hadi 45 rejea hii kampeni ya kataa ndoa.
Kumbe unaelewa sababu ndio nimekwambia hapo kupandishana Cortisol na wanawake kitu wanapenda ni kupandisha Cortisol, ukielewa kwanini Cortisol najua utakua umenielewa namaanisha nini Cortisol ipo against Testosterone kwa hio Cortisol ikipanda kwa mwanaume Testosterone inakua low kwa hio anakua km Mwanamke na hakuna Mwanaume anataka kua km Mwanamke nazungumzia Mwanaume rijali acha wale walioleftTofaut na hiyo ila wanaume hawapend sana majibizano na kerokero za hapa na pale
Ukweli mchunguUnakosea sana kukataa pia huku tunako kwenda mabachelor watakuwa wengi sana kati miaka 35 hadi 45 rejea hii kampeni ya kataa ndoa.
Ukweli ni kwamba ume generalize, wanaume wote hawawezi kuwa sawa.lakini ndo ukweli hii ni redflag
Ndoa n utapel.Naona ikifika 2050 masela wengi watakuwa wapg nyetUnakosea sana kukataa pia huku tunako kwenda mabachelor watakuwa wengi sana kati miaka 35 hadi 45 rejea hii kampeni ya kataa ndoa.
itakuwa mpigwa miti villageKwani unatokea kijiji gani mkuu...π€
umenena kama alivyosema huyo rafiki yangu aliyeniita ToxicUkweli ni kwamba ume generalize, wanaume wote hawawezi kuwa sawa.
Na ukiamua kuona redflag, hakuna mwanamme asiye na redflag.
Kwa hiyo, unaweza kujifanya Malkia wa Sheba unayemtafuta mwanamme asiye na redflag ukaishia kubaki peke yako.
Pia, kama hupendi wanaume waliofanikiwa kwa kufikiri hawako wenyewe, tafuta kijana asiyefanikiwa basi.
Kama hutaweza kujiuliza "Huyu mbona kijana na hana mtu, lazima atakuwa na mtu tu".
Unatakiwa kuwa na ushahidi kabla ya ku entertain hizo redflag, si unajiwekea redflags za kinadharia tu.
Ultimately, hayo ni maisha yako na wewe ndiye unachagua wa kuwa naye, au hata ukichagua kuwa peke yako kwa sababu kila mwanamme ana redflag ni sawa tu.
Kwani sasa hivi unao umri gani? π€Nimekuwa nikijadili hili jambo na rafiki yangu mmoja hadi akaniita 'Toxic' kwamba sifai
Wakati nipo kwenye umri wa 20+ ilikuwa nikitongozwa na mwanaume wa umri wa 30+ na ameshafanikiwa yaani ka-settle tayari ana kila kitu kinachoitajika kwenye maisha ikiwa ni nyumba, gari, biashara na ana kazi ya kueleweka, kiufupi kwangu niliichukua kama red-flag
Je wewe haujawahi kuwa na mahusiano na mtu zaidi ya mmoja at the same time?lakini rafiki yangu aliniuliza
"Unadhani utapata mwanaume wa kwako peke yako?, Kwaiyo unataka mwanaume masikini? au hao masikii ndo wako loyal?
Je ww ni loyal? Isijekuwa unatafuta sifa ambazo ww mwenyewe haunalakini bado sijapata kuamini kama wanaume wa hali hiyo wanaweza kuwa peke yao na loyal kwenye mahusiano
lengo lako la mahusiano ni nini? Je ni kama ajira?Nimewahi kujaribu kudate mwanaume wa hivyo ila nilikimbia π, jamaa alikuwa ananiambia ukitaka chochote nambie muda huo mimi nasubiri aone hali yangu kuwa nahitaji kitu fulani then aniletee hata kama suprise bila kumwambia nikiogopa kuonekana ombaomba ila hakuwai kufanya hivyo.
So, simu ni mpaka apige yeye tu, wewe huwezi kumpigia?Alipenda sana kutaka niende kwake kitu ambacho pia nilichukulia kama red-flag ya kufanya hayo kisha nakuwa dampo.
Kingine kilichofanya nikimbie, alikuwa anaweza kukaa wiki nzima hajapiga simu na akipiga anataka uende kwake,
Hayana formula haya, wewe tambua tu unataka nini, kisha nenda na beat, unapoweza kuset tempo ya beat (basi iset), utaposhindwa kuset, basi rejea ni nini unataka in a relationship, halafu tembea na beat.Natamani tu kujua kama mawazo yangu hayana afya au ndo niko Toxic kama rafiki yangu alivyonambia
Uzuri ni kwamba hata kuwa toxic ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu.umenena kama alivyosema huyo rafiki yangu aliyeniita Toxic
π π π πKwani katiba inasemaje? Kuhusu ilo jambo?
Kazi ni kipimo cha utu
π π π Ndio!Kama najiona hivi kua soon ntakua kama huyo Jamaa..
Kiukweli Ndoa ilitakiwa tuwe tunafunga mapema kabla ya 30, Ukishavuka 30 una too self aware, mpaka inakua ngumu ku commit kwenye relationship.