Siamini Mwanaume wa 30+ and succesful kama yupo single


apo nilikuwa early 20s lakini saivi niko late 30s

Umesema vyema sana ni ukweli, honestly sijawai kuwa kwenye mahusiano na watu wengi kwa wakati mmoja na ni kwasababu sina uwezo wa ku-multitask hivyo ninapoingia kwenye mahusiano huwa na focus nikiwa na expectation ya kufika mbali zaidi

Ni kweli hayana formula na mara nyingi huwa najiuliza pia kama naishi uhalisia wangu au ni uoga kupitia experience za watu wengine ambao aidha ni wakaribu wangu au hata wale wakusikia mabalaa yaliyowakuta na kunijengea uoga
 
Wapo vijana wengi Tu miaka hiyo uliyotaja wapo single kabisa na kiuchumi wako vizuri (kibongo bongo), siku hizi Ninachoona vijana hawataki au wanaogopa kuingia kwenye serious relationship, yaani wanachovya Tu wanakimbia, sijui ni kwanini wanakimbia?.

Kipindi kile ukifika miaka 20's tayari Una familia ya mke na watoto wawili hata watatu na sio kwamba maisha yalikuwa mazuri Sana ni basi Tu...Mimi Nafikiri kama binti amepata mwanaume let say Yuko kwenye 20's na anajitambua na kutunza heshima Yake, licha ya kwamba bado mambo Yake ya kiuchumi hayajakaa sawa Kwa maana sijui ya kuwa na nyumba,magari nk nashauri ni Bora ukomae naye muanze chini, mtakuwa na familia Bora Tu hapo baadae...
 
😅😅😅 Ndio!

Maamuzi ya kuoa au kuolewa yanatakiwa uyafanye kabla kuna vitu haujavielewa kuhusu binadamu.

Ni kweli kabisa hata wanawake, akishavuka 25 baasi haolewi tena na fala mapaka avuke 30 tena huko.

Miaka 21 - 24, Ni rahisi kumvuta demu hata kama gheto una godoro tu, akishakuzimikia anaamini ipo siku mtapata ila kakivuta 25 alooo, Bila chapaa Huvuti mzigo.
 
Huu ujinga sitokaa nikaurudia!
 
Kaa ukijua siku hizi ngono ni rahisi sana,halafu hamna ambaye yupo single kwa asilimia zote mia,watu wapo single ila wanapiga ndondo viwanja tofauti tofauti kama kawa,huku wakitafuta timu ya kudumu.
 
Kuna rafiki yangu aliniambiaga Jane mdogo wangu maisha ya sasa ni kutafuta mwanaume unaeona anakufaa then unamuiba kwa mwanamke mzembe hivyo yani mwendo wakuiba tu
Wewe wewe utakuja kurogwa wewe Kuna dada Kila anpoenda nyuki zimemganda usoni, shida nyie ni wavivu, wanawake wenzenu wanajipinda kufanya kazi nyie mnataka kula jasho zao kirahisi tu kupitia wame zao, kazana unacho tafuta utakipata, UVIVU TU WAKUFANYA KAZI alafu eti na wewe unawazarau Malaya wa river side ilihali we mwenyewe mwizi wame za watu
 
😂 😂 😂 😂 Ayseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…