Theory yangu naisemaga humu jf huwa ni hivi, mara nyingi kwenye kuanzisha mahusiano, yule mtu unaemtaka hakutaki, usiemtaka ndo anakutaka, ukimpata unaemtaka basi ni pasua kichwa, hii ni moja ya sababu kubwa inayofanya jinsia zote mbili zishindwe kufanya maamuzi ya nani awe mwenza wa maisha mwishowe mtu anajikuta ana miaka 35 hana hata mke/mume wa kusingiziwa, au kwa mwanamke unakuta anaolewa tu sababu umri umeenda, muoaji ana hela, au aliemtaka haeleweki, mwanaume unakuta anaoa sababu ndo anaeweza kumpata, mwanamke ni wife material etc..ila Ile Raha ya mtu kujivunia kuwa na partner wake inakua haipo, watu wanabaki kuishi kwa mazoeaKwamba wadada wote wako expensive hivyo? Sio kweli
Na hivi vyumba vya 50k huku mtaani wanaishi kina nani jamani?!! Wadada wa kawaida na loyal wapo vijana wapunguze kuwa doubtful sana
Eheeee hebu tupe stori ilikuwaje?Huu ujinga sitokaa nikaurudia!
Yeye anataka.Kwani ni lazima kuwa na mtoto dunia hii?
Hujui kwamba kuna watu hawataki hata kusikia habari za watoto na ndoa?
Wanawapenda watoto wao, kiasi kwamba hawataki kabisa wazaliwe kwenye hii Dunia iliyojaa shida.
Haya leta stori.. We have plenty of timeNi story ndefu
View attachment 3574860
Tulia basi😅Haya leta stori.. We have plenty of time
Hii ni point sana mkuu,tunawaleta watoto duniani kuwahangaisha tuKuna watu wanawapenda sana watoto wao kiasi kwamba hawataki wazaliwe kwenye hii Dunia iliyojaa shida.
Tupe storiTulia basi😅
Kabiiiisa lo
Wapo mbona mara nyingi ni madomo zege kuna wengine sabbu ya gubu hayo ndo yanawafanya wanakuwa single 😀
Kuna ukweli ndani yakeBei nafuu elewa bei nafuu halafu kipapilo ni kile kile issue sio uoga issue bei nafuu unakua ushamaliza nyege na ukishamaliza hapo huna muda wa kupandisha Cortisol till next time call for delivery package ambazo kuna mchumba angekuzungusha mwezi mpaka miezi huku anachokonoa wallet na mwisho wa siku akakuletea vagi na chupi hata hujamvua hela kala unafanyaje safari uelekeo kwenda kujipoza maeneo
TawapaTupe stori
Ndo maana kuna wakati napata hisia ya utulivu ndani mwangu kuwa nilifanya maamuzi sahihiWhen the deal is too good,
think twice.