TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
- Thread starter
-
- #41
Kwa Hii Hesabu Yako Ndugu---
Toa Pesa Ya Boss 100,000/=,
Toa Pesa Ya Mafuta Kwa Kesho Yake,
Toa Pesa Ya Service Ya Iyo Gari Kwa Mwezi,
Toa Pesa Ya Kula Konda Na Dereva,
Toa Sio Pesa Bali Ela Ya Wapiga Debe Kwa Vituoni,
Toa Pesa Ya Konda/Dereva Kupeleka Nyumbani....
Tupe Hesabu Yake Sasa
Pandisha nauli kama ni lazima kufidia hayo. Boss ajitune kupokea hela tofauti na hiyo, zama zinabadilika.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaani umesoma kabisa nilichoandika ukashindwa kuelewa point ya level seat in relation to daladala na foleni?Hebu tuongee kama watu wazima wenye akili timamu, foleni inapunguaje barabarani kwa watu kukaa level seat? Sio kwamba kuna factor nyingine imehusika?
Mimi nimevutiwa na kipengele cha foleni barabarani kupungua in relation to level seat, nikabaki nastaajabu, level seat kwenye daladala na kupungua kwa foleni barabarani inakuwaje? Hebu nijibu inakuwaje hadi foleni inapungua?Yaani umesoma kabisa nilichoandika ukashindwa kuelewa point ya level seat in relation to daladala?
Watapata suluhisho. Adha za daladala, unakuta zimejaa, cha ajabu zinasimama popote kuendelea kupakia, zikiwa kituoni au karibu na kituo zinaziba kabisa barabara kuzuia daladala zingine kwa sababu ya kunyang'ana abiria, kelele za wapiga debe kila kona, na vurugu zingine havifai kabisa.Pita njia ya mbagala , temeke, buza , keko huko utakuta watu wanatembea kwa mguu je hicho ndio unakitaka? Ivi wale abiria wa mwendokasi wa kimara wanaogombania mwendokasi unahisi now wanafanyaje shuguri zao?
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uku mikoani tumehama kwenye level seat sahiv tunakaa seat mbili mtu mmoja [emoji23][emoji23]
Ngoja nikupe mfano rahisi. Sasa hivi hao abiria kama 30 -- level seat, daladala inajaza kutokea kituoni, tuseme Mbagala. Ikiondoka kituoni daladala haitasimama njiani kupakia abiria, labda kama ikishusha. Abiria wanaoshuka njiani mara nyingi ni mmoja au wawili, na mara nyingi hapohapo wanapanda abiria wengine kuwareplace na gari kuondoka.Mimi nimevutiwa na kipengele cha foleni barabarani kupungua in relation to level seat, nikabaki nastaajabu, level seat kwenye daladala na kupungua kwa foleni barabarani inakuwaje? Hebu nijibu inakuwaje hadi foleni inapungua?
Akili zipo ila zilikuwa hazitumiki ipasavyo..😂😂😂😂Naona watu wameanza kupata akili
Sent from my iPhone using Tapatalk
Akili zipo ila zilikuwa hazitumiki ipasavyo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1.) Foleni husababishwa tu na daladala zinazopakia abiria kituoni kwa muda mrefu?Ngoja nikupe mfano rahisi. Sasa hivi hao abiria kama 30 -- level seat, daladala inajaza kutokea kituoni, tuseme Mbagala. Ikiondoka kituoni daladala haitasimama njiani kupakia abiria, labda kama ikishusha. Abiria wanaoshuka njiani mara nyingi ni mmoja au wawili, na mara nyingi hapohapo wanapanda abiria wengine kuwareplace na gari kuondoka.
Kwa mazoea, daladala inayotoka Mbagala kwenda Kkoo inaweza kusimama mara 30+ njiani tena popote pale ilimradi kuna abiria, kila ikisimama inasababisha magari yote yaliyo nyuma nayo kusimama. Mfano mwingine, daladala imejaza lakini inaendelea kupark kituoni, magari yanayotaka kuingia kituoni hayaweza kuingia bali yanabaki barabarani maana kituoni nafasi hakuna kutokana na msongamano unaosababishwa na daladala ambazo zimejaa muda mrefu lakini hazitaki kuondoka. Sasa jaribu kufikiria matendo kama hayo yakifanywa na daladala mia kadhaa kwenye barabara moja, mfano kutoka Mbagala mpaka Kkoo.
1.) Foleni husababishwa tu na daladala zinazopakia abiria kituoni kwa muda mrefu?
2.) Daladala zote hushushia na kupakia abiria barabarani na si kituoni?
Nadhani anamaanisha kuwaMimi nimevutiwa na kipengele cha foleni barabarani kupungua in relation to level seat, nikabaki nastaajabu, level seat kwenye daladala na kupungua kwa foleni barabarani inakuwaje? Hebu nijibu inakuwaje hadi foleni inapungua?
Nadhani anamaanisha kuwa
1. Vituo vyetu vya daladala havina uwezo wa kupaki gari nyingi kwa hiyo daladala huwa zinapaki mostly barabarani huku zikipiga debe wakati abiri waliomo wanatosha aondoke, kitendo hicho kinasabisha jam kwa magari mengine na kuleta msongamano.
2. Kwa kuwa walikuwa hawatosheki hadi wenye nyomi daladala iliyo mbele humzuia mwenzake asipite ili kituo kinachofuata pia apige gap hii ndio issue ya kuchomekeana inaanzia hapo nayo inaimpact ya kukwaruzana na kupoteza muda kusuluhisha ugomvi hapo jam lazima.
My take.
Kwa kuwa abiri ni wale wale isipokuwa utawasomba kwa route nyingi basi pesa inayopatikana ni ile ile. Kitachoongezeka ni route huenda zikaongeza kuweka mafuta.
Lakini jam hutumia mafuta zaidi maana gari inakuwa iko ON inaenda mwendo mdogo at lower gear inatumia mafuta zaidi kwahiyo unaweza ukute unatumia mafuta mengi kuliko kurudia abiria. HILI LINAHITAJI UTAFITI
Leo niliona mambo mawili
1. Abiria wakitembea Mbagala to town
Barabara nyeupe unajikunjua dk 5 uko town hakuna jam
Hapo sijaua issue ni nini?
Kama kufunga shule zimefungwa muda, kama maofisi mengi yamefungwa sijui kama yamefungwa jana tu.
Labda tusubiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna foleni basi itakuwa sababu zingine lakini sio kwa matatizo ya daladala tunayozungumzia hapa. Kama hayo matatizo hakuna na foleni ipo, maana yake hiyo foleni ni nafuu na ingekuwa mbaya zaidi kama ingechanganyikan na tabia za kidaladala.Duh hamna alietumia Kilwa road leo! Kuna foleni hio balaa
1.) Foleni husababishwa tu na daladala zinazopakia abiria kituoni kwa muda mrefu?
2.) Daladala zote hushushia na kupakia abiria barabarani na si kituoni?
Sasa huko gari zinazotumika ni canter(chai maharage) mnakaa kwa kutizamana, sasa unataka watu wasimamaje??