Siasa au Viongozi wa nchi mmeamua kudhalilisha idara hii muhimu kwa nchi yangu Tanzania?

Ugumu wangu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2021
Posts
1,685
Reaction score
3,552
Habari ya jioni watanzania wenzangu, Rais wangu na mkuu wa Jwtz na Serikali yote.

Jion hii Mimi mnyaturu kutokea Kintinku huko Singida nikiwa nachunga mbuzi nimekuwa na maswali magumu kwangu japo najua kwenu yanaweza kuwa rahisi kutujibu watanzania.

Kuna kitu nakisikia kinaitwa kesi ya ugaidi ,sitaki niongolee sana hili . Lakini kwa Nini mmeamua kudhalilisha taasisi hii muhimu kwetu watanzania? Kwani police hawakutosha kutengeneza move nzuri ya kihindi kama hii? Je, hamkumuona Ray kigosi au Stive nyerere au hata Joti mbona wanaweza tu kuigiza vizuri tu?

Kwani ushahidi wa afande Ndowo ulitosha kabisa mkaunga unga na mengine mkamfunga Mbowe?

Kwani shida yenu si ni kumfunga Mbowe tu au kuna kingine? Je, kwani jeshi la police nchi hii si tunawajua walivyowaongo na tulishawazoea ulitosha wao kucheza futuhi hii.

Ilikuwaje mkaamua kumwingiza Urio hapa na kama alikosea basi alipaswa afukuzwe au mfanye kama ambavyo kiapo kinataka mbona kazi rahisi tu?

Kwa hiyo mnataka niwadharau kwanzia leo? Mbona siku ile mnamsindikiza Nkurunzinza kurudi kwao sio ndio wale vijana wetu mlipita Ushirombo saa 12 na nusu nikiwa nachoma mahindi mlivyokuwa mmependeza hadi nikawapenda bure inakuwaje Leo tudhalilishane hivi?

Vipi mlipofika Kabanga mbona warundi waliwapigia magoti jamani au mnataka na huko wajiulize Nini hiki?

Vipi Kagame mlichomfanya huko vichakani si
ndio vijana hawa hawa mnaodhalilisha hivi walienda huko na Mimi nikiwa nawauzia vocha?

Vipi panya Magawa marehemu huko aliko anawatazamaje jamani au hamuoni?

Looooh nakufa na maswali yangu sijui kwa nini basi sawa ngoja niendelee kulia Mimi😢😢😢😢
 
Nawaza Angekuwepo mwamba Mwamunyange sidhani kama angekubali udhalilishaji huu.....

Mabeyo is the Failed CDF
Kwa huyo mnyakyusa asingekubali upimbi huu hata yule alikuwa anajua Nini maana JWTZ
 
Habari ya jioni watanzania wenzangu, Rais wangu na mkuu wa Jwtz na Serikali yote.

Jion hii Mimi mnyaturu kutokea Kintinku huko Singida nikiwa nachunga mbuzi nimekuwa na maswali magumu kwangu japo najua kwenu yanaweza kuwa rahisi kutujibu watanzania.

Kuna kitu nakisikia kinaitwa kesi ya ugaidi ,sitaki niongolee sana hili . Lakini kwa Nini mmeamua kudhalilisha taasisi hii muhimu kwetu watanzania? Kwani police hawakutosha kutengeneza move nzuri ya kihindi kama hii?
Je hamkumuona Ray kigosi au Stive nyerere au hata Joti mbona wanaweza tu kuigiza vizuri tu?

Kwani ushahidi wa afande Ndowo ulitosha kabisa mkaunga unga na mengine mkamfunga Mbowe?

Kwani shida yenu si ni kumfunga Mbowe tu au kuna kingine? , Je kwani jeshi la police nchi hii si tunawajua walivyowaongo na tulishawazoea ulitosha wao kucheza futuhi hii.

Ilikuwaje mkaamua kumwingiza Urio hapa na kama alikosea basi alipaswa afukuzwe au mfanye kama ambavyo kiapo kinataka mbona kazi rahisi tu ?

Kwa hiyo mnataka niwadharau kwanzia leo? Mbona siku ile mnamsindikiza Nkurunzinza kurudi kwao sio ndio wale vijana wetu mlipita Ushirombo saa 12 na nusu nikiwa nachoma mahindi mlivyokuwa mmependeza hadi nikawapenda bure inakuwaje Leo tudhalilishane hivi?

Vipi mlipofika Kabanga mbona warundi waliwapigia magoti jamani au mnataka na huko wajiulize Nini hiki?

Vipi Kagame mlichomfanya huko vichakani si
ndio vijana hawa hawa mnaodhalilisha hivi walienda huko na Mimi nikiwa nawauzia vocha?

Vipi panya Magawa marehemu huko aliko anawatazamaje jamani au hamuoni?

Looooh nakufa na maswali yangu sijui kwa nini basi sawa ngoja niendelee kulia Mimi😢😢😢😢
Uandishi unauweza katika level ya juu kabisa.
 
Acha utapel unajifanya unajua usalama unatapel had tsh 50k

Ndengeles mkubwa wewe
 
Habari ya jioni watanzania wenzangu, Rais wangu na mkuu wa Jwtz na Serikali yote.

Jion hii Mimi mnyaturu kutokea Kintinku huko Singida nikiwa nachunga mbuzi nimekuwa na maswali magumu kwangu japo najua kwenu yanaweza kuwa rahisi kutujibu watanzania.

Kuna kitu nakisikia kinaitwa kesi ya ugaidi ,sitaki niongolee sana hili . Lakini kwa Nini mmeamua kudhalilisha taasisi hii muhimu kwetu watanzania? Kwani police hawakutosha kutengeneza move nzuri ya kihindi kama hii? Je, hamkumuona Ray kigosi au Stive nyerere au hata Joti mbona wanaweza tu kuigiza vizuri tu?

Kwani ushahidi wa afande Ndowo ulitosha kabisa mkaunga unga na mengine mkamfunga Mbowe?

Kwani shida yenu si ni kumfunga Mbowe tu au kuna kingine? Je, kwani jeshi la police nchi hii si tunawajua walivyowaongo na tulishawazoea ulitosha wao kucheza futuhi hii.

Ilikuwaje mkaamua kumwingiza Urio hapa na kama alikosea basi alipaswa afukuzwe au mfanye kama ambavyo kiapo kinataka mbona kazi rahisi tu?

Kwa hiyo mnataka niwadharau kwanzia leo? Mbona siku ile mnamsindikiza Nkurunzinza kurudi kwao sio ndio wale vijana wetu mlipita Ushirombo saa 12 na nusu nikiwa nachoma mahindi mlivyokuwa mmependeza hadi nikawapenda bure inakuwaje Leo tudhalilishane hivi?

Vipi mlipofika Kabanga mbona warundi waliwapigia magoti jamani au mnataka na huko wajiulize Nini hiki?

Vipi Kagame mlichomfanya huko vichakani si
ndio vijana hawa hawa mnaodhalilisha hivi walienda huko na Mimi nikiwa nawauzia vocha?

Vipi panya Magawa marehemu huko aliko anawatazamaje jamani au hamuoni?

Looooh nakufa na maswali yangu sijui kwa nini basi sawa ngoja niendelee kulia Mimi😢😢😢😢
Mchunga mbuzi hongera sana kwa kupaza sauti
 
Looooh nakufa na maswali yangu sijui kwa nini basi sawa ngoja niendelee kulia Mimi[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
We kenge urudishe pesa ulizotapeli kabla hatujakukamata

Utatuonesha na huko usalama unakojifanya unafanyia kazi
 
Back
Top Bottom