Siasa inahitaji sana akili: Angalia alichofanya Rais Obama baada ya kuingiliwa alivyokuwa anatoa hotuba yake

Siasa inahitaji sana akili: Angalia alichofanya Rais Obama baada ya kuingiliwa alivyokuwa anatoa hotuba yake

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Mara ya kwanza, alikuwa akizungumzia suala la uhamiaji nchini Marekani

Mara ya pili, aliwazuia wafuasi wake wasimzomee mfuasi wa Trump aliyekuja kumpinga

Evaluate your battles carefully, sometimes peace is more important that being right.
 
Bongo bongo hapo tayar ashabebwa mbedembede juu kwa juu na kutokomea kusikojulikana 😂😂😂yaan unamharass rais?😂😂😂😂😂
Yaani wewe acha tu mkuu, nafasi za juu kabisa za uongozi wa Ummah zinahitaji mtu ambaye yuko sawa kiakili na kihisia, lasivyo wananchi wanaweza kuumizwa sana.

Wanasiasa wa Tanzania pamoja na watu wa vyombo vya dola wana kasumba ya kutokuwa watulivu kiakili na kihisia. Sasa sijui tatizo ni makuzi yetu, tamaduni au bailojia ya vinasaba.
 
Hili tatizo ni la tawala zote za kiafrika kuna changamoto sana kweny ku handle hisia za wananchi!!
Yaani wewe acha tu mkuu, nafasi za juu kabisa za uongozi wa Ummah zinahitaji mtu ambaye yuko sawa kiakili na kihisia, lasivyo wananchi wanaweza kuumizwa sana. Wanasiasa wa Tanzania pamoja na watu wa vyombo vya dola wana kasumba ya kutokuwa watulivu kiakili na kihisia. Sasa sijui tatizo ni makuzi yetu, tamaduni au bailojia ya vinasaba.
 
Mara ya kwanza, alikuwa akizungumzia suala la uhamiaji nchini Marekani

Mara ya pili, aliwazuia wafuasi wake wasimzomee mfuasi wa Trump aliyekuja kumpinga

Evaluate your battles carefully, sometimes peace is more important that being right.

Hii ya Leo ilivyotokea kwa "Chui Jike" kama Ni project ya Deep State ku-prove Kwa Umma kuwa hajiwezi basi kweli hao jamaa wana Akili. Hii Ni mara Pili anashindwa kujinasua katika mitego ya Kiakili. Ile ya Gazeti la Uhuru kuandika kuwa hagombei alishindwa kuielewa pia.
 
Hii ya Leo ilivyotokea kwa Chui Dume kama project ya Deep State ku-prove Kwa Umma kuwa hajiwezi basi kweli hao jamaa wana Akili. Hii Ni mara Pili anashindwa kujinasua katika mitego Kiakili. Ile ya Gazeti la Uhuru kuandika kuwa hagombei alishindwa kuielewa.
Mkuu nachoweza kukisema tu ni hiki: Uongozi wa nchi unahitaji hekima ya hali ya juu mno.
 
Mara ya kwanza, alikuwa akizungumzia suala la uhamiaji nchini Marekani

Mara ya pili, aliwazuia wafuasi wake wasimzomee mfuasi wa Trump aliyekuja kumpinga

Evaluate your battles carefully, sometimes peace is more important that being right.

Obama nae anasubiri nini kugombea tena Urais mbona Trump anataka kugombea tena?
 
Mara ya kwanza, alikuwa akizungumzia suala la uhamiaji nchini Marekani

Mara ya pili, aliwazuia wafuasi wake wasimzomee mfuasi wa Trump aliyekuja kumpinga

Evaluate your battles carefully, sometimes peace is more important that being right.

Dah!...siasa mbona ngumu hivi..
 
I read somewhere that Obama was vetted by US intelligence community sasa vetring za kwetu huku sijui kama tuziite vetting

Na bila unafiki mie ukiniambia vetting iliofanywa west na huku dunia ya tatu nitaamini vetting ya western world and that tells that Binadamu hatufanani ingawa sote binadamu
 
Hili tatizo ni la tawala zote za kiafrika kuna changamoto sana kweny ku handle hisia za wananchi!!
Afrika tumerithi tawala za Kifalme tukazibadilisha kuwa za kidemkrasia Kwa mwamvuli wa Wazungu, lakini tabia zetu hatujaweza kuzibadili jiulize hata mtu akiwa na cheo anaona hawezi kutoka hapo anaona kama kiti hicho ni Mali yake
 
Nafiki kuna mahala kwenye ubongo za watawala wa kiafrika kuna maji maji yamekauka sio bure aisee, jamaa anajikubali kiasi hata anaye mshutumu hajui pakuanzia.
 
Nafiki kuna mahala kwenye ubongo za watawala wa kiafrika kuna maji maji yamekauka sio bure aisee, jamaa anajikubali kiasi hata anaye mshutumu hajui pakuanzia.
Hio Ni kweli kabisa mkuu na wazungu wao Ni unakuta kiongozi mahiri kabisa Kama Obama lkn anakua amevaa pampus hapo sababu ya madhara ya ufirwaji.

Ndio Maisha ya wanadamu hayo.
 
Mbona Watu hapa mmeng'ang'ania mambo ya Africha africa kana kwamba Waafrika ni Watu hovyo sana na pengine kuliko wote Duniani. Basi Mwananchi kama huyo akafanye hayo China, Myanamar, Saudia, Bahrain etc
 
Back
Top Bottom