MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Evaluate your battles carefully, sometimes peace is more important that being right
Yaani wewe acha tu mkuu, nafasi za juu kabisa za uongozi wa Ummah zinahitaji mtu ambaye yuko sawa kiakili na kihisia, lasivyo wananchi wanaweza kuumizwa sana.Bongo bongo hapo tayar ashabebwa mbedembede juu kwa juu na kutokomea kusikojulikana πππyaan unamharass rais?πππππ
Yaani wewe acha tu mkuu, nafasi za juu kabisa za uongozi wa Ummah zinahitaji mtu ambaye yuko sawa kiakili na kihisia, lasivyo wananchi wanaweza kuumizwa sana. Wanasiasa wa Tanzania pamoja na watu wa vyombo vya dola wana kasumba ya kutokuwa watulivu kiakili na kihisia. Sasa sijui tatizo ni makuzi yetu, tamaduni au bailojia ya vinasaba.
Hii ya Leo ilivyotokea kwa "Chui Jike" kama Ni project ya Deep State ku-prove Kwa Umma kuwa hajiwezi basi kweli hao jamaa wana Akili. Hii Ni mara Pili anashindwa kujinasua katika mitego ya Kiakili. Ile ya Gazeti la Uhuru kuandika kuwa hagombei alishindwa kuielewa pia.Mara ya kwanza, alikuwa akizungumzia suala la uhamiaji nchini Marekani
Mara ya pili, aliwazuia wafuasi wake wasimzomee mfuasi wa Trump aliyekuja kumpinga
Evaluate your battles carefully, sometimes peace is more important that being right.
Mkuu nachoweza kukisema tu ni hiki: Uongozi wa nchi unahitaji hekima ya hali ya juu mno.Hii ya Leo ilivyotokea kwa Chui Dume kama project ya Deep State ku-prove Kwa Umma kuwa hajiwezi basi kweli hao jamaa wana Akili. Hii Ni mara Pili anashindwa kujinasua katika mitego Kiakili. Ile ya Gazeti la Uhuru kuandika kuwa hagombei alishindwa kuielewa.
Obama nae anasubiri nini kugombea tena Urais mbona Trump anataka kugombea tena?Mara ya kwanza, alikuwa akizungumzia suala la uhamiaji nchini Marekani
Mara ya pili, aliwazuia wafuasi wake wasimzomee mfuasi wa Trump aliyekuja kumpinga
Evaluate your battles carefully, sometimes peace is more important that being right.
Ila huyo sio Rais au haya yalitokea akiwa Rais?Bongo bongo hapo tayar ashabebwa mbedembede juu kwa juu na kutokomea kusikojulikana πππyaan unamharass rais?πππππ
Dah!...siasa mbona ngumu hivi..Mara ya kwanza, alikuwa akizungumzia suala la uhamiaji nchini Marekani
Mara ya pili, aliwazuia wafuasi wake wasimzomee mfuasi wa Trump aliyekuja kumpinga
Evaluate your battles carefully, sometimes peace is more important that being right.
Ila huyo sio Rais au haya yalitokea akiwa Rais?
Afrika tumerithi tawala za Kifalme tukazibadilisha kuwa za kidemkrasia Kwa mwamvuli wa Wazungu, lakini tabia zetu hatujaweza kuzibadili jiulize hata mtu akiwa na cheo anaona hawezi kutoka hapo anaona kama kiti hicho ni Mali yakeHili tatizo ni la tawala zote za kiafrika kuna changamoto sana kweny ku handle hisia za wananchi!!
Afrika tumerithi tawala za Kifalme tukazibadilisha kuwa za kidemkrasia Kwa mwamvuli wa Wazungu, lakini tabia zetu hatujaweza kuzibadili jiulize hata mtu akiwa na cheo anaona hawezi kutoka hapo anaona kama kiti hicho ni Mali yake
Hio Ni kweli kabisa mkuu na wazungu wao Ni unakuta kiongozi mahiri kabisa Kama Obama lkn anakua amevaa pampus hapo sababu ya madhara ya ufirwaji.Nafiki kuna mahala kwenye ubongo za watawala wa kiafrika kuna maji maji yamekauka sio bure aisee, jamaa anajikubali kiasi hata anaye mshutumu hajui pakuanzia.